Kangi Lugola: Watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi ni Mitego ya kifo. Kwani wanaokufa wakifanya mapenzi mnachoma Kitanda?

Kangi Lugola: Watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi ni Mitego ya kifo. Kwani wanaokufa wakifanya mapenzi mnachoma Kitanda?

Hawana namna nyingine zaidi ya kukaa upande wa shetani na kujitahidi kumpaka Mafuta ili apendeze.

R.I.P Akwiline
R.I.P. Alphonce Mawazo
R.I.P Daudi Mwangosi

Na woote walio uwawa kwa Hila ..
huu ujinga wa akili yako kuambiwa kila jambo hivi wamekufa hao tu ktk taifa hili wewe wamekufa wangapi ktk ukoo wenu umemuliza nani hayo maswali.acheni ujinga wa kuwekewa sio kila jambo siasa uyapendayo ndio yasemwe.
 
huu ujinga wa akili yako kuambiwa kila jambo hivi wamekufa hao tu ktk taifa hili wewe wamekufa wangapi ktk ukoo wenu umemuliza nani hayo maswali.acheni ujinga wa kuwekewa sio kila jambo siasa uyapendayo ndio yasemwe.

Mkuu ,hao wooote nilio wataja hapo ni Ndugu zangu.Wacha nikae na Ujinga wangu.
 
Kangi anapaswa kujua Mtu akifa kwenye kitanda Cha kwenye ward hospital huwa Sio breaking news lakin akifa kwenye kitanda Cha gesti huwa Ni breaking news
Back to your sense now! Hatuna viongozi tuna watawala, na watawala majibu yao ni ya aina hii....
 
Hoja dhaifu sana hii

Na Mungu hadhihakiwi hivyo kwa mifano duni
 
Lugola muda mwingine anaeleweka muda mwingine sijui anaacha kichwa nyumbani...
 


Katika siku za hivi karibuni kumetokea tabia mbaya na chafu na ovu kabisa ya Mahabusu kufia kwenye vituo vya Polisi. Mahabusu wanapelekwa wanapata mateso yanayopelekea vifo vyao, kuna baadhi ya jamii zimekataa kuchukua maiti kwenda kuzizika

Kangi Lugola: Mwananchi kufa, anakufa wakati wowote na mahali popote . Sijui kwenye Quran lakini kwenye Biblia ukisoma Muhubiri 9:12 kifo ni mtego, kifo humnasa mtu wakati wowote na mahali popote

Mtu anaweza kufa akiwa polisi, akiwa anafanya mapenzi, anaweza akafa akiwa kwenye gari anasafiri na aweza kufia hata humu Bungeni kwahiyo isije ikachukuliwa kwamba nayefika kituo cha polisi ni kwamba ameteswa

Lakini nikiri kuwa kuna matukio ya Watu kufia mikononi mwa Polisi, na pale ambapo matukio hayo yanajitokeza huwa tunafanya uchunguzi na ikibainika Polisi wanahusika huwa tunachukua hatua

> Na ndio maana tunawazuia wananchi wasichukue sheria mkononi na kwenda kuchoma kituo cha polisi. Mbona huyu anayefia akifanya mapenzi mbona hawaendi kuchoma kitanda?

Du, tangu nizaliwe sijawahi kusikia majibu ya kipumbavu kama haya wallahi!
 
Huyu ninja huwa simwelewagi kabisa anajibugi maswali kama mtoto wa chekechea , Shame on killers damu za wanaouawa iwarudie iviandame vizazi vyenu mpaka kizazi chenu cha nne. curse on you killers!
Na iwe hivyo
 
Kuna watu wanachangia kutetea kila ujinga unao Fanya na serikali ikiwemo mauaji haya ya polisi!!
Nawaombea ndugu zenu wa Karibu wauawe wakiwa chini ya polisi mtajua kwamba huu unao fanyika ni ushetani na laana kwa nchi kumeza damu zisizo na hatia
 
utakuta kuna wapuuzi wanachekelea hayo majibu na kuhisi wao hawawezi fikwa na upumbavu wa polisi

ifike sehemu baadhi ya viongozi wakue akili na busara huwezi zungumzia vifo holel vya wananchi mikononi mwa polisi kama vile unazungumza stori za disko
 
Back
Top Bottom