Kangi Lugola: Watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi ni Mitego ya kifo. Kwani wanaokufa wakifanya mapenzi mnachoma Kitanda?

Kuifatilia serikali ya kijani ni kudhihirisha kuwa na akili ndogo kuliko hao kijani wenyewe, mim nilishaacha kuwachukulia seriously, wana mambo ya ajabu yanayokera mpaka unaona bora kuwapuuza tu.
 
Kumjibu Mtu Mpumbavu ni sawa na wewe kuonekana Mpumbavu tu...ngoja nikae kimya
 
Kwanini wanapoteza tax payer kumlinda magu sasa?
Si wangelimwachia azurure peke yake tu! PUMBUVU.
 
Kuapizana mpaka vizazi Sio vyema

Imagine ukiambiwa Kila unalofanya halifanikiwi Kwa Kuwa Baba wa Babu yako aliapizwa

omba Mungu akupe busara na wazazi wako wawe na busara. yaan kuna makosa ambayo Mungu anaweza kuwalaan kizazi chenu chote. tena mpaka kizaz cha nne. omba sana ndugu yangu. kwa wakristo hiyo ni amri ya pili na tamko katika amri hiyo
 
Nukuu....." Mimi huwa nawashangaa sana baadhi ya Watanzania yaani ikitokea tu kidogo kuna tatizo katika Vituo Vyetu vya Polisi nchini na wao kuhisi kuna Uonevu wao huwa wanawahi Kuvichoma moto hivyo Vituo. Hivi ni kwanini Ndugu zao wanapokuwa wamepatwa na matatizo katika Nyumba za Kulala Wageni Gesti / Loji huwa hawakimbilii kuchoma moto hizo Nyumba au Vitanda walivyovilalia Ndugu zao? "

Shikamoo Afande Waziri Kangi Lugola.

Nawasilisha.
 
Nchi kutawaliwa na vichaa lazima tutapata tabu sana, ila Ole wao heri matumbo ya mama zao yasingewabeba.
 
Kuapizana mpaka vizazi Sio vyema

Imagine ukiambiwa Kila unalofanya halifanikiwi Kwa Kuwa Baba wa Babu yako aliapizwa
Biblia takatifu imetoa "ole" na kupatiliza kosa alilofanya baba laweza kwenda hadi kwa watoto.
 
Kasema uongo? Hakuna mbunge aliyefia mjengoni? Hujaona watu wanafia bafuni au chooni? Je wanaofia kwenye gari wakisafiri? Hujaona wanaofia bar wakipiga urabu? Wanaofia kwenye vifua vya wanawake hujawaona?
Usijitoe ufaham, chukulia ndugu yako kachukuliwa na police akiwa mzima halafu unaitwa unaambiwa chukua mwili wa ndugu yenu, ukiutizama umetapakaa na kuvilia damu, hivi utasema ni kifo cha kawaida? Lakini omba sana yasije kukukuta.
 
Una uhakika unakumbuka sakata lililosababisha waziri wa mambo ya ndani wakati huo AHM kujiuzulu au ulikua hujazaliwa
Afadhari hata AHM alifanya hivyo lakin hawa wafuasi wa shetani wanaona sawa tu mtu kufa kwa kupigwa na police na cha kusikitisha zaidi wanapongeza, hovyo kabisa.
 
huu ujinga wa akili yako kuambiwa kila jambo hivi wamekufa hao tu ktk taifa hili wewe wamekufa wangapi ktk ukoo wenu umemuliza nani hayo maswali.acheni ujinga wa kuwekewa sio kila jambo siasa uyapendayo ndio yasemwe.
Akili finyu hizo, vifo vya nduguze zimesababishwa na kupigwa na police?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…