Nyamtalakyono
JF-Expert Member
- Dec 17, 2015
- 795
- 479
Labda wewe ungependa nimjibu vipiPunguza mahaba mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wewe ungependa nimjibu vipiPunguza mahaba mkuu
Umemwambia kweli, mimi hata kumjibu naona sio size yangu!Punguza mahaba mkuu
Kuapizana mpaka vizazi Sio vyema
Imagine ukiambiwa Kila unalofanya halifanikiwi Kwa Kuwa Baba wa Babu yako aliapizwa
Biblia takatifu imetoa "ole" na kupatiliza kosa alilofanya baba laweza kwenda hadi kwa watoto.Kuapizana mpaka vizazi Sio vyema
Imagine ukiambiwa Kila unalofanya halifanikiwi Kwa Kuwa Baba wa Babu yako aliapizwa
Usijitoe ufaham, chukulia ndugu yako kachukuliwa na police akiwa mzima halafu unaitwa unaambiwa chukua mwili wa ndugu yenu, ukiutizama umetapakaa na kuvilia damu, hivi utasema ni kifo cha kawaida? Lakini omba sana yasije kukukuta.Kasema uongo? Hakuna mbunge aliyefia mjengoni? Hujaona watu wanafia bafuni au chooni? Je wanaofia kwenye gari wakisafiri? Hujaona wanaofia bar wakipiga urabu? Wanaofia kwenye vifua vya wanawake hujawaona?
Afadhari hata AHM alifanya hivyo lakin hawa wafuasi wa shetani wanaona sawa tu mtu kufa kwa kupigwa na police na cha kusikitisha zaidi wanapongeza, hovyo kabisa.Una uhakika unakumbuka sakata lililosababisha waziri wa mambo ya ndani wakati huo AHM kujiuzulu au ulikua hujazaliwa
Karma itachukua nafasi yake.ndiyo nimesema sasa, mtanifanya nini!!?
Akili finyu hizo, vifo vya nduguze zimesababishwa na kupigwa na police?huu ujinga wa akili yako kuambiwa kila jambo hivi wamekufa hao tu ktk taifa hili wewe wamekufa wangapi ktk ukoo wenu umemuliza nani hayo maswali.acheni ujinga wa kuwekewa sio kila jambo siasa uyapendayo ndio yasemwe.
Umenena vyema hili lizee hasara tupu linalopoka tu.Hata wanaofia kwenye ajali za mabasi nao mtego haina haja ya kuwakamata madereva tujue tu kua ilibidi wafe na kifo kimewakuta hapo
Tuna wakati mgumu mno muraDuuuh, kaz juu ya kazi huku kichaa palee ninja