Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
- #21
We acha tu mkuu, mchango wako ni muhimuMapenzi ajira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We acha tu mkuu, mchango wako ni muhimuMapenzi ajira
Mkuu, translate basi, hizo lugha zina wenyeweNever show sympathy to a simp.
Tusiwe tunawapa wanawake posho pamoja na kuwanunulia simu za bei kubwa sanaHadithi yako ya tufundisha nini🤔
Wewe jamaa una matukio!Hujafa tu?Iko hivi kuna binti flani hapa kitaani kwangu nilikuwa napiga mzigo. nilimpenda kindakindaki. Moyo wangu na hisia zangu zote zililala usingizi wa fofofo kwake
Sikuwa na ubahiri kwake, Mchizi nilipagawa na uzuri wake, ana bonge la mtrako, halafu anajua kulitumia Kitandani, ni mtundu wa mapenzi kiuno kimejaa shanga za rangi mbalimbali
Nilijitahidi sana kumgharamia kila kilichokuwa ndani ya uwezo wangu kwa sababu nilimpenda. Nilimnunulia Simu ya Laki Sita. Kila wiki nilimpa Shilingi Elfu 30 kwa ajili ya kwenda Saloon
Kila mwisho wa mwezi kidume nilimwaga pesa zote za Mshahara wangu kumfanyia Shopping yeye. Nilikuwa nikimnunulia nguo, viatu na hata mawigi
Nilipenda kumuona anafurahi muda wote, hata mama yangu mzazi kijijini nilikuwa nikimchunia kumpa hela ya matumizi kwa ajili yake. Sasa kazi nimefukuzwa, Demu hanitaki tena, mbaya zaidi kazama penzini na mwana ambaye alikuwa ni Mshikaji wangu sana
Wiki ya juzi nilimtokea ghafla huyo demu uchochoroni, nikampigia magoti nikalia sana ili anihurumie anipe tena penzi lake, lakini Dah nimeambulia kipigo kutoka kwake. Kumbe Demu yupo vizuri sana kimapigano, kanipiga ngumi za kutosha usoni, kanitoa manundu usoni na kunipasua juu ya jicho langu la kushoto,
Kilichofanya niwaombe msaada, juzi kanitumia meseji kaniambia kama nataka anipe uchi wake basi nimfate nikiwa na laki mbili mkononi, kanichanganya, sina kazi naipata wapi hiyo Laki mbili?
Wana MMU tafadhalini, sisi sote ni ndugu wa baba mmoja, Maxence Melo, daima hatuangushani, naombeni msaada wenu, nichangieni hiyo hela niende nikapige mzigo, najua tukiamua jambo letu, inapatikana!
Nisaidieni wakuu, leo kwangu kesho kwenu....
Sio legelege, ni vile tu utamaduni wetu unapinga kupambana na mwanamke. Nimpige mwanamke kwani mimi ni mwanamke?Wanaume wa Dar kila siku wanapigwa tu na wapenzi wao. Mnakulaga chakula gani hivi!! Mbona legelege sana?!
Na kweli mkuu, wanawake sio watu wa kuwathamini hata kidogo, hawana shukuraniJinsi unavyozidi kumjali mwanamke na ukifikiri unamfurahisha ndivyo anavyokuona mjinga, fal na bwege*
Hapana mkuu, tukisema tujichange 100 100. Muda huu online tupo zaidi ya watu 3000. Itanitosha kabisa wakuuMaisha yetu nayo magumu mkuu piga tu nyeto ushushie na maji baridi.
Hapana mkuu, huyo pichani ni My Sister in Law. Namkubali sana dada yangu kuliko chochote kituPole.. Usikute aliona iyo profile pic akaona kuna shida pahala.
Ndo malipo ya malayaIko hivi kuna binti flani hapa kitaani kwangu nilikuwa napiga mzigo. nilimpenda kindakindaki. Moyo wangu na hisia zangu zote zililala usingizi wa fofofo kwake
Sikuwa na ubahiri kwake, Mchizi nilipagawa na uzuri wake, ana bonge la mtrako, halafu anajua kulitumia Kitandani, ni mtundu wa mapenzi kiuno kimejaa shanga za rangi mbalimbali
Nilijitahidi sana kumgharamia kila kilichokuwa ndani ya uwezo wangu kwa sababu nilimpenda. Nilimnunulia Simu ya Laki Sita. Kila wiki nilimpa Shilingi Elfu 30 kwa ajili ya kwenda Saloon
Kila mwisho wa mwezi kidume nilimwaga pesa zote za Mshahara wangu kumfanyia Shopping yeye. Nilikuwa nikimnunulia nguo, viatu na hata mawigi
Nilipenda kumuona anafurahi muda wote, hata mama yangu mzazi kijijini nilikuwa nikimchunia kumpa hela ya matumizi kwa ajili yake. Sasa kazi nimefukuzwa, Demu hanitaki tena, mbaya zaidi kazama penzini na mwana ambaye alikuwa ni Mshikaji wangu sana
Wiki ya juzi nilimtokea ghafla huyo demu uchochoroni, nikampigia magoti nikalia sana ili anihurumie anipe tena penzi lake, lakini Dah nimeambulia kipigo kutoka kwake. Kumbe Demu yupo vizuri sana kimapigano, kanipiga ngumi za kutosha usoni, kanitoa manundu usoni na kunipasua juu ya jicho langu la kushoto,
Kilichofanya niwaombe msaada, juzi kanitumia meseji kaniambia kama nataka anipe uchi wake basi nimfate nikiwa na laki mbili mkononi, kanichanganya, sina kazi naipata wapi hiyo Laki mbili?
Wana MMU tafadhalini, sisi sote ni ndugu wa baba mmoja, Maxence Melo, daima hatuangushani, naombeni msaada wenu, nichangieni hiyo hela niende nikapige mzigo, najua tukiamua jambo letu, inapatikana!
Nisaidieni wakuu, leo kwangu kesho kwenu....
😂😂Hapana mkuu, nilikuwa masomoni namalizia Degree ya 2 ya Surgical EngineeringWewe jamaa una matukio!Hujafa tu?
Ndiyo ukashindwa hata kutoa ushauri kwa sababu unasomea namna ya kuwavalisha watu surgical gloves size 8?Unanignusha jamaa yangu.😂😂Hapana mkuu, nilikuwa masomoni namalizia Degree ya 2 ya Surgical Engineering
Wakati huo anaandamana wewe ulikuwa unachochea kuni makande yaive.Unaweza kukuta mtoa mada nae alikuwa kwenye maandamano ya Chadema
Kwenye mapenzi kila mmoja ni mjinga kwa kiwango chake.Ila twende mbele turudi nyuma kuna watu tunataabika na haya mapenzi, watu wanahonga magari, nyumba kisa mapenzi kwamana hiyo mimi hata simshangai mleta mada
😂😂 KimewakaWakati huo anaandamana wewe ulikuwa unachochea kuni makande yaive.
NB;Mabadiliko chanya yakitokea utataka na wewe uandikwe kwenye vitabu vya historia kama mzee Mohamed Said wakati unawakandia wakinzani.Pumbaff zako!