Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
- #81
Modiiiiiiiiiiiiiiiii Modiiiiiiiiiiiiii Modiiieeeeeeeeee
Natukanwa huku, naonewa mimi kisa mapenzi ðŸ˜ðŸ˜‚😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Modiiiiiiiiiiiiiiiii Modiiiiiiiiiiiiii Modiiieeeeeeeeee
Huyo mdada alikuwa analitumia tako lake kubwa kivipi? kwa matumizi gani ya kitandani? Melki the Storytellerana bonge la mtrako, halafu anajua kulitumia Kitandani,
😂😂Hapana mkuu, huyo ni binamu yangu. Namkubali sana, alinijali sana enzi zile za utotoAisee..
Huyo kwenye avatar ni wewe?
Mbona dada yako yupo kama ana tako la mchongo mkuu🙄She is My Sister in Law. Tumeshare baba mkuu
😂😂Kama huna D mbili huwezi elewa hii mkuu. Kuna namna wanalirushaga wakati wa miti hadi linaleta mastimulesheni. Linakuwa kama linatengeneza mawimbi bahari hivi. Likiwa na shanga sasa😋 Unakuwa unalivuta kama farasi fulani hivi, hapo utamu ni lazima utaifonza wote i.e atakugawia wastani kwa idadi, kikubwa usivae gadi. Watu wa mikoani hamuwezi elewa hii. Na ndo maana huku Daslam watu tunagombania sana wanawakeHuyo mdada alikuwa analitumia tako lake kubwa kivipi? kwa matumizi gani ya kitandani? Melki the Storyteller
Hapo ndo sijui mkuu, mi niliona linajiotea na kuongezeka alipokuwa na umri wa miaka 16 tuMbona dada yako yupo kama ana tako la mchongo mkuu🙄
Maana halisi ya Melki the Storyteller ....Kumbe Demu yupo vizuri sana kimapigano, kanipiga ngumi za kutosha usoni, kanitoa manundu usoni na kunipasua juu ya jicho langu la kushoto,
Hata kama bhanaShe is My Sister in Law. Tumeshare baba mkuu
Ulitushirikisha kabla ya kupanga kumfanyia yote ulomfanyia?Iko hivi kuna binti flani hapa kitaani kwangu nilikuwa napiga mzigo. nilimpenda kindakindaki. Moyo wangu na hisia zangu zote zililala usingizi wa fofofo kwake
Sikuwa na ubahiri kwake, Mchizi nilipagawa na uzuri wake, ana bonge la mtrako, halafu anajua kulitumia Kitandani, ni mtundu wa mapenzi kiuno kimejaa shanga za rangi mbalimbali
Nilijitahidi sana kumgharamia kila kilichokuwa ndani ya uwezo wangu kwa sababu nilimpenda. Nilimnunulia Simu ya Laki Sita. Kila wiki nilimpa Shilingi Elfu 30 kwa ajili ya kwenda Saloon
Kila mwisho wa mwezi kidume nilimwaga pesa zote za Mshahara wangu kumfanyia Shopping yeye. Nilikuwa nikimnunulia nguo, viatu na hata mawigi
Nilipenda kumuona anafurahi muda wote, hata mama yangu mzazi kijijini nilikuwa nikimchunia kumpa hela ya matumizi kwa ajili yake. Sasa kazi nimefukuzwa, Demu hanitaki tena, mbaya zaidi kazama penzini na mwana ambaye alikuwa ni Mshikaji wangu sana
Wiki ya juzi nilimtokea ghafla huyo demu uchochoroni, nikampigia magoti nikalia sana ili anihurumie anipe tena penzi lake, lakini Dah nimeambulia kipigo kutoka kwake. Kumbe Demu yupo vizuri sana kimapigano, kanipiga ngumi za kutosha usoni, kanitoa manundu usoni na kunipasua juu ya jicho langu la kushoto,
Kilichofanya niwaombe msaada, juzi kanitumia meseji kaniambia kama nataka anipe uchi wake basi nimfate nikiwa na laki mbili mkononi, kanichanganya, sina kazi naipata wapi hiyo Laki mbili?
Wana MMU tafadhalini, sisi sote ni ndugu wa baba mmoja, Maxence Melo, daima hatuangushani, naombeni msaada wenu, nichangieni hiyo hela niende nikapige mzigo, najua tukiamua jambo letu, inapatikana!
Nisaidieni wakuu, leo kwangu kesho kwenu....