Kaniambia ana HIV

Acha kuchanganyikiwa wee vp potea ufie mbali umshukuru sana kwa kukuweka wazi tungekuwa tunajadili mengine saa hii ila usiache kuwa naye karibu kwani huyo ni muungwana sana.

sasa unalaum nn
 
Sioni kitu kilichokuchanganya hapo. Je angekuambukiza ungefanyeje si ungekuwa chizi. Mambo mengine ni kumshukuru Mungu na sio kuchanganyikiwa.

nashukuru kawa muwazi
 
hamna ye anaonyesha waz ananipenda na nilkuwa simsumbui kama unavozan
 
Inaumiza sana ila kuwa HIV+ haimanishi mwisho wa maisha, maisha yataendele km kawaida, huyo dada anahitaji faraja yako kwa hiyo usije ukamtenga.

nitafanya hvo
 
Nendeni mkapime tena. Hana vvu huyo anakufukuza kiaina. Hata hivyo, kuwa HIV positive sio kufa, wengi wanaishi na vvu lakini wapo poa na maisha yanaenda. Hata jf ni jamii kama zingine, kwa hiyo wapo pia...!
 
mkuu kwa jins alivoniambia ni.kwel ana vvu
 
Usikate tamaa mdogo wangu, Mungu anawapenda sana... umepata rafiki mkweli na mwenye upendo, bado unaweza kuwa naye na kuishi naye kama wapenzi na hata kuwa na watoto pamoja... penzi la kweli halina mipaka

cha maana ni kupata washauri nasaha

through my readings, nilishawahi kuona sehemu mwanamama akisema "ukimwi umekua blessings kwenye familia yetu" mapenzi yao yalibadilika na kuwa ya kweli na ya uaminifu kabisa

ALL YOU NEED NI KUPATA USHAURI NASAHA NA KUFANHAMU NAMNA MBALIMBALI ZA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI, KUNA DAWA ZITAWALINDA, KINGA ZITAWALINDA LAKINI THE MOST IMPORTANT THING FOR YOU AND YOUR FRIEND NI KUPENDANA KWA DHATI... UPENDO HUO KWA SASA NI NADRA SANA

Iwapo mtalia na kucheka wote, basi mtaishi kwa furaha na upendo, Kansa, Kisukari, magonjwa ya akili na other chrinic diseases ni more dangerous kuliko UKIMWI
 
nashukuru mkuu kwa ushauri
 
Huwa inatokea hiyo.
 
Sasa unalilia nini wakati kakuambia tu na wala hujathibitisha kwa vipimo. Nenda mkapime, usikute yeye yupo salama wewe ndiyo muathrika.
 
NOTE: Inawezekana ulikuwa unamsumbua sana, alafu yeye hakupendi kaamua kukutulizisha boli. Maana kunawanaume ving'ang'anizi hadi mtu anakereka.

Nakubaliana nawe kabisa., kwa 85% hiyo ni namna ya kumpotezea tuu.
 
Sasa una lia lia nini apa dogo?!We vaa condom mpige mashine kama una taka zaa nae nenda nae clinic uta pata instraction na watoto mtapata.Ukimwi sio mwisho wa upendo mi nishaa wagegeda hawa ndugu zetu na bado niko poa tu ukifata vigezo na mashart!
 
weka picha hili jukwaa siyo mahala pake Paw fanya mambo
 
Last edited by a moderator:
Sasa una lia lia nini apa dogo?!We vaa condom mpige mashine kama una taka zaa nae nenda nae clinic uta pata instraction na watoto mtapata.Ukimwi sio mwisho wa upendo mi nishaa wagegeda hawa ndugu zetu na bado niko poa tu ukifata vigezo na mashart!

Ni ngumu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…