Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew mbona unamchulia mwenzio, sasa unalia nini??
kwani kafa??? na aliekwambia kuwa kuwa HIV+ ndio kufa nani.
we kama huja do nae unachanganyikiwa nini.
Kama kwel ameathirika usimtenge wala kumtangaza kama ulivyomtangaza hapa.
NOTE: Inawezekana ulikuwa unamsumbua sana, alafu yeye hakupendi kaamua kukutulizisha boli. Maana kunawanaume ving'ang'anizi hadi mtu anakereka.
Nendeni mkapime tena. Hana vvu huyo anakufukuza kiaina. Hata hivyo, kuwa HIV positive sio kufa, wengi wanaishi na vvu lakini wapo poa na maisha yanaenda. Hata jf ni jamii kama zingine, kwa hiyo wapo pia...!
Hapa nilipo nimechanganyikiwa baada ya kuambiwa na mtu ambaye nlitokea kumpenda kupita kias kuwa ni muathirika wa vvu.Nilikutana nae sku chache zlizopita,ni mschana mrembo kupita kiasi nilimtongoza akasema anawachukia wanaume ckujua kwa nn!?
Leo kaniambia kama kweli nampenda tukapime,nikamwambia poa,bac ye akaamua kuniambia kuwa ana hiv na aliambukizwa na mvulana ambaye ndiye wa kwanza kwake.Nimelia sana kaniambia tuwe marafiki tu ila na yy ananipenda ila hataki kuniua.Hapi nilipo nimechanganyikiwa naona kama ndoto
Usikate tamaa mdogo wangu, Mungu anawapenda sana... umepata rafiki mkweli na mwenye upendo, bado unaweza kuwa naye na kuishi naye kama wapenzi na hata kuwa na watoto pamoja... penzi la kweli halina mipaka
cha maana ni kupata washauri nasaha
through my readings, nilishawahi kuona sehemu mwanamama akisema "ukimwi umekua blessings kwenye familia yetu" mapenzi yao yalibadilika na kuwa ya kweli na ya uaminifu kabisa
ALL YOU NEED NI KUPATA USHAURI NASAHA NA KUFANHAMU NAMNA MBALIMBALI ZA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI, KUNA DAWA ZITAWALINDA, KINGA ZITAWALINDA LAKINI THE MOST IMPORTANT THING FOR YOU AND YOUR FRIEND NI KUPENDANA KWA DHATI... UPENDO HUO KWA SASA NI NADRA SANA
Iwapo mtalia na kucheka wote, basi mtaishi kwa furaha na upendo, Kansa, Kisukari, magonjwa ya akili na other chrinic diseases ni more dangerous kuliko UKIMWI
Hapa nilipo nimechanganyikiwa baada ya kuambiwa na mtu ambaye nlitokea kumpenda kupita kias kuwa ni muathirika wa vvu.Nilikutana nae sku chache zlizopita,ni mschana mrembo kupita kiasi nilimtongoza akasema anawachukia wanaume ckujua kwa nn!?
Leo kaniambia kama kweli nampenda tukapime,nikamwambia poa,bac ye akaamua kuniambia kuwa ana hiv na aliambukizwa na mvulana ambaye ndiye wa kwanza kwake.Nimelia sana kaniambia tuwe marafiki tu ila na yy ananipenda ila hataki kuniua.Hapi nilipo nimechanganyikiwa naona kama ndoto
NOTE: Inawezekana ulikuwa unamsumbua sana, alafu yeye hakupendi kaamua kukutulizisha boli. Maana kunawanaume ving'ang'anizi hadi mtu anakereka.
JF ya leo ina kina shigongo wengi sana.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa baada ya kuambiwa na mtu ambaye nlitokea kumpenda kupita kias kuwa ni muathirika wa vvu.Nilikutana nae sku chache zlizopita,ni mschana mrembo kupita kiasi nilimtongoza akasema anawachukia wanaume ckujua kwa nn!?
Leo kaniambia kama kweli nampenda tukapime,nikamwambia poa,bac ye akaamua kuniambia kuwa ana hiv na aliambukizwa na mvulana ambaye ndiye wa kwanza kwake.Nimelia sana kaniambia tuwe marafiki tu ila na yy ananipenda ila hataki kuniua.Hapi nilipo nimechanganyikiwa naona kama ndoto
Sasa una lia lia nini apa dogo?!We vaa condom mpige mashine kama una taka zaa nae nenda nae clinic uta pata instraction na watoto mtapata.Ukimwi sio mwisho wa upendo mi nishaa wagegeda hawa ndugu zetu na bado niko poa tu ukifata vigezo na mashart!