Kaniambia ana HIV

Sasa unalilia nini wakati kakuambia tu na wala hujathibitisha kwa vipimo. Nenda mkapime, usikute yeye yupo salama wewe ndiyo muathrika.

inaonekana kwel anao mzee
 
Duuh kweli WATZ bado sana, kwanini usiwe Tomaso. Mwambie mwende wote mkapime.
 
kwahiyo ulitaka uupate, hongera ya kuepuka hilo tatizo, kwa upande mwingine dada nadhani hajakupenda so ametafuta sababu ambayo ana uhakika utamkimbia kama ukoma

kwel anao bhn
 
Huyo hana HIV isipokuwa wewe ndo hauko salama.,Unaliaje wakati yeye yuko comfortable?
 
Mimi niliwahi kuambiwa hivyo,kumbe alikuwa hana isipokuwa alikuwa haniamini,eventually tulienda kupima tena aliniomba ni-suggest sehemu ya kwenda kupima,nikamkuta yuko poa mbaya.
 
Ulipaswa kumshukuru huyo mrembo kuwa muwazi kwako vinginevyo ungeingia mzima mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…