Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo ulitaka uupate, hongera ya kuepuka hilo tatizo, kwa upande mwingine dada nadhani hajakupenda so ametafuta sababu ambayo ana uhakika utamkimbia kama ukomaya nn mkuu
we unawashwa!!!
We bado utoto unakusumbua. Hata ukioa hutadumu na mkeo maana hata mtu akijifaragua katembea nae utaamini kisa "kasema".nn wakat kasemA anao
nadhani ungejiua kama angekwambia afta game...