Kanibwatukia na kugoma kuja kunipokea. Hapa kuna mapenzi kweli?

Kanibwatukia na kugoma kuja kunipokea. Hapa kuna mapenzi kweli?

Pole sana shemale inawezekana hiyo siku hakuwa sawa ebu jaribu kumsamehe halafu panga safari nyengine yakumsuprise uende hapo reaction utayopata utafanya maamuzi.
Kufanya surprise ni sawa na jaribio la kuonja sumu. Sumu haionjwi..
 
Mjifunze mjini hautakiwi kukurupuka unapoenda kuonana na mtu
 
Baad ya kusoma nikarud juu kuangalia jina lako hapo hapo nimekosa cha kuandika
 
Back
Top Bottom