Kanibwatukia na kugoma kuja kunipokea. Hapa kuna mapenzi kweli?

Ni mkasa wa kweli unaohitaji ushauri wa kweli.

Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka 2 sasa. Tulikutana ktk vyombo vya usafiri na kuianza safari ya mapenzi. Lkn tunaishi miji (towns) tofauti, haiko mbali mbali sana.

Kwa kipindi chote hicho sijawahi kwenda kwake, hata nikienda mji (town) anaoishi basi huwa tunakutana sehemu na kuishia hapo. Amekuwa akinipa sababu kwamba kwake haifai kukutania kwasabb anaishi na wazazi na ndugu zake wengine.

Hivi karibuni akaniambia amefungua biashara ktk mtaa mbali kidogo na kwao. Na ikawa ngumu hata kuacha biashara na kuja kunitembelea. Tukakubaliana mm ndiyo niwe naenda kukutania karibu na biashara yake.

Jana asubuhi na mapema nikaamka na kuanza safari kuelekea kwenye mji (town) wake. Lkn usiku wa kuamkia jana tuliongea kwenye simu kuwa nitaenda kwake. Akaniambia ukiwa unaanza safari unijulishe. Nikajibu sawa.

Mm kwakuwa nilianza safari mapema sikuona sabb ya kumtext asubuhi kiasi kile. Nikasubiri mpk mida ya saa 2 asubuhi huku nikiwa nimekaribia kufika kwake ndipo nikamtext kwamba nakuja.

Balaa likaanza. Akaniambia kwao kuna mvua kubwa sana. Nami nikamjibu naiona. Akauliza tena, "kwani wewe uko wapi?" Nikamjibu nimekaribia sana, baada ya dak 20 nitakuwa nimeshuka.

Akauliza tena: kwann hukuniambia wakati unaanza safari? Kabla sijamjibu akanitext tena "Niko benki". Ndipo mm nikamjibu kuhusu kukwambia mbona tuliongea kwenye simu?
"Lkn hata hivyo sikutaka wewe uje huku kwetu kabisa, ilibidi tukutane maeneo ya mbali na hapa" akang'aka.

Mm kuona vile, nikakerwa sana. Niliona kama siyo muungwana, siyo mkweli na hana utu kabisa. Badala ya kufurahia ujio wangu anafoka? Kuna kitu gani anakificha? Mbona amepaiki kiasi hiki?

Hapo hapo nikamtext "isiwe taabu napanda gari nageuza". Akawa kimya. Mara text yake ikaja " nilikwambia jana lkn kwamba unitaarifu kabla ya kuja". Kisha akajichanganganya tena akanitext "nyumbani kuna wizi umetokea".

Jamani hapa kuna mapenzi kweli? Au kuna kekundu?

Kwa majibu hayo yanayo badilika badilika, ungekuwa wewe ungeweza kumsamehe mtu huyu? Maana inbox yangu imefurika sms zake za kuomba msamaha.
Kwa nini unalazimisha mapenzi? Kimsingi yeye ndiyo alitakiwa ahangaike kutafuta kuwa nawe muda wote, hapo tatizo haliko kwa mwwnamume hata kidogo, ni kwamba anatafuta kukuacha kistaarabu tu. Umepoteza sifa muhimu sana ya mke wa ndoa, ndio maana anakitenda kama kahaba.

Ni kwamba unatafuta mwqnamume wa kumwangukia awe mumeo na kwa mwendo huo utaishia kuliwa tu. Mke wa ndoa ana tabia kuwakimbia wanaume, sio kuwakimbilia. Thunk
 
Jiongeze kaka Una mwenza
Ni mkasa wa kweli unaohitaji ushauri wa kweli.

Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka 2 sasa. Tulikutana ktk vyombo vya usafiri na kuianza safari ya mapenzi. Lkn tunaishi miji (towns) tofauti, haiko mbali mbali sana.

Kwa kipindi chote hicho sijawahi kwenda kwake, hata nikienda mji (town) anaoishi basi huwa tunakutana sehemu na kuishia hapo. Amekuwa akinipa sababu kwamba kwake haifai kukutania kwasabb anaishi na wazazi na ndugu zake wengine.

Hivi karibuni akaniambia amefungua biashara ktk mtaa mbali kidogo na kwao. Na ikawa ngumu hata kuacha biashara na kuja kunitembelea. Tukakubaliana mm ndiyo niwe naenda kukutania karibu na biashara yake.

Jana asubuhi na mapema nikaamka na kuanza safari kuelekea kwenye mji (town) wake. Lkn usiku wa kuamkia jana tuliongea kwenye simu kuwa nitaenda kwake. Akaniambia ukiwa unaanza safari unijulishe. Nikajibu sawa.

Mm kwakuwa nilianza safari mapema sikuona sabb ya kumtext asubuhi kiasi kile. Nikasubiri mpk mida ya saa 2 asubuhi huku nikiwa nimekaribia kufika kwake ndipo nikamtext kwamba nakuja.

Balaa likaanza. Akaniambia kwao kuna mvua kubwa sana. Nami nikamjibu naiona. Akauliza tena, "kwani wewe uko wapi?" Nikamjibu nimekaribia sana, baada ya dak 20 nitakuwa nimeshuka.

Akauliza tena: kwann hukuniambia wakati unaanza safari? Kabla sijamjibu akanitext tena "Niko benki". Ndipo mm nikamjibu kuhusu kukwambia mbona tuliongea kwenye simu?
"Lkn hata hivyo sikutaka wewe uje huku kwetu kabisa, ilibidi tukutane maeneo ya mbali na hapa" akang'aka.

Mm kuona vile, nikakerwa sana. Niliona kama siyo muungwana, siyo mkweli na hana utu kabisa. Badala ya kufurahia ujio wangu anafoka? Kuna kitu gani anakificha? Mbona amepaiki kiasi hiki?

Hapo hapo nikamtext "isiwe taabu napanda gari nageuza". Akawa kimya. Mara text yake ikaja " nilikwambia jana lkn kwamba unitaarifu kabla ya kuja". Kisha akajichanganganya tena akanitext "nyumbani kuna wizi umetokea".

Jamani hapa kuna mapenzi kweli? Au kuna kekundu?

Kwa majibu hayo yanayo badilika badilika, ungekuwa wewe ungeweza kumsamehe mtu huyu? Maana inbox yangu imefurika sms zake za kuomba msamaha.
 
Kumbafu sana wewe unatusumbua humu na hizi soga zako mpya kila siku
 
Inaonyesha dhahiri kabisa kuwa kwa upande wako mapenzi yapo tena tele yamejaa. Kwa upande wake huhitaji kuuliza kama yapo au hayapo! Yaani hukupaswa kuanzisha huu uzi!
 
Back
Top Bottom