Kufanya surprise ni sawa na jaribio la kuonja sumu. Sumu haionjwi..Pole sana shemale inawezekana hiyo siku hakuwa sawa ebu jaribu kumsamehe halafu panga safari nyengine yakumsuprise uende hapo reaction utayopata utafanya maamuzi.
Meeeeeehakuna mapenzi ila kuna gunia la chawa.
kosa ufanye mwenyewe na bado unamlalamikia jamaa, toeni taarifa mapema nyie mbuzi.
Mmnh....JF bwaaaana..Nimemgegeda pekupeku, lakini harufu ya kondomu imetamalaki
Nina mpenzi demu ambaye kwa mujibu wa maelezo yake kwao ni geti kali na mbwa mkali. Mm sijawahi fika kwao. Imepita miezi 2 bila ya kumgegeda kwasabb nilikuwa na mizunguko ya kutafuta riziki sehemu mbalimbali. Juzi ndiyo tumeonana, na akanipa mpapa kwa bidii zote. Nami nilipiga mashine kweli...www.jamiiforums.com