Kanibwatukia na kugoma kuja kunipokea. Hapa kuna mapenzi kweli?

Kwa nini unalazimisha mapenzi? Kimsingi yeye ndiyo alitakiwa ahangaike kutafuta kuwa nawe muda wote, hapo tatizo haliko kwa mwwnamume hata kidogo, ni kwamba anatafuta kukuacha kistaarabu tu. Umepoteza sifa muhimu sana ya mke wa ndoa, ndio maana anakitenda kama kahaba.

Ni kwamba unatafuta mwqnamume wa kumwangukia awe mumeo na kwa mwendo huo utaishia kuliwa tu. Mke wa ndoa ana tabia kuwakimbia wanaume, sio kuwakimbilia. Thunk
 
Jiongeze kaka Una mwenza
 
Kumbafu sana wewe unatusumbua humu na hizi soga zako mpya kila siku
 
Inaonyesha dhahiri kabisa kuwa kwa upande wako mapenzi yapo tena tele yamejaa. Kwa upande wake huhitaji kuuliza kama yapo au hayapo! Yaani hukupaswa kuanzisha huu uzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…