Gepard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2021
- 291
- 385
Nimefanikiwa kutengeneza urafiki na mama muuza genge hadi katokea kunipenda na kuniamini sana. Alipenda kujua maisha yangu ya kiroho na maisha ya kawaida na kuridhika nayo.
Baada ya kumaliza chuo 2019 niliamua kujiongeza na mambo mengine nje ya nilichosomea. Mapema nilipanga geto. Nimekuwa mteja wa huyu mama kwa mda kidogo, tukipiga stori na kunishauri kuhusu maisha.
Juzi kati amezidiwa du kumbe alikuwa na tatizo kubwa la kiafya😰 na kulazwa nilijitoa kwa moyo wangu wote kumsaidia ila hali yake ilizidi kuwa mbaya.
Ni single mama mwenye mtoto mmoja wa kike mwenye tabia nzuri sio kama Paula yupo chuo mwaka wa 3 ni mzuri. Juzi kati alituita na mwanae, sitasahau alichosema😢 " mwanangu Eliza wanaume ni wengi ila E" awe mume wako mtarajiwa ninae kushauri umpende kama anavyo mpenda mama yako.
Mama ☺️Akatabasamu akanangalia. Akanambia mwanangu ni mzuri na nimemlea vizuri kwa ajili yako. Mama yake leo hayupo. 😢. Siku ya 15 kwenye mahusiano na nitamuoa.