Gepard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2021
- 291
- 385
- Thread starter
- #41
Nina ganzi mkuu, tokea kitambo kwenye mapenzi Mimi ni starling, kusoma upepo mapema 😃. Kuachana kupo kuumia kupo ila ukiamini hayo unapunguza maumivu yakijakutokea.Wadau wanasema ni swala la muda tu umejipangaje kwa hilo Mkuu?.
Ila haya mambo yapo sana nimepata kuyashuhudia ila hadi mzazi wa binti kukwambia ina maana mna ukaribu mkubwa sana.
Hii inaweza kuwa chai ila haya mambo sio chai yapo huku mitaani, hasa kama kijana una elimu nzuri na tabia yako inayojulikana ni ile njema. Hii situation itakupata tu.