Kanikabidhi binti yake nimpende

Kanikabidhi binti yake nimpende

Vyovyote vile..... kodi zetu ndio zimetuletea kijana wa namna hii! from low level to higher hao waliokufundisha si tuliwezesha wao kulipwa, samani, miundombinu etc
Halafu ada aliyolipa ilifanya nini??
 
Nina experience yakutoshaa mkuu..nikiwaa naishi ubungo mwaka 2007 mama mwenye nyumba wangu nilikua namla,kumbe alikua na matatizo ya moyo nilishanga kuna siku aliniambia akifaa nimchukue mwanae awe mke wangu.
Kumbe hii hali ni nyota yako.😂😂
 
Nimefanikiwa kutengeneza urafiki na mama muuza genge hadi katokea kunipenda na kuniamini sana. Alipenda kujua maisha yangu ya kiroho na maisha ya kawaida na kuridhika nayo.

Baada ya kumaliza chuo 2019 niliamua kujiongeza na mambo mengine nje ya nilichosomea. Mapema nilipanga geto. Nimekuwa mteja wa huyu mama kwa mda kidogo, tukipiga stori na kunishauri kuhusu maisha.

Juzi kati amezidiwa du kumbe alikuwa na tatizo kubwa la kiafya😰 na kulazwa nilijitoa kwa moyo wangu wote kumsaidia ila hali yake ilizidi kuwa mbaya.

Ni single mama mwenye mtoto mmoja wa kike mwenye tabia nzuri sio kama Paula yupo chuo mwaka wa 3 ni mzuri. Juzi kati alituita na mwanae, sitasahau alichosema😢 " mwanangu Eliza wanaume ni wengi ila E" awe mume wako mtarajiwa ninae kushauri umpende kama anavyo mpenda mama yako.

Mama ☺️Akatabasamu akanangalia. Akanambia mwanangu ni mzuri na nimemlea vizuri kwa ajili yako. Mama yake leo hayupo. 😢. Siku ya 15 kwenye mahusiano na nitamuoa.
Nipe namba ya huyo mwanamke nithibitishe hii habari
 
Alishakata moto 2015... Mwanae kaolewa 2019 anamaisha yake mazuri tu, ila ananitafutaga mara moja moja kupasha kipo

Alishakata moto 2015... Mwanae kaolewa 2019 anamaisha yake mazuri tu, ila ananitafutaga mara moja moja kupasha kiporo
Yan ukiona ivyo ujue alikuwa anakupenda , ila jamaa ake sio mtu wa heavy duty nini.😅
 
"Kunguru wa Manzese toka uje kwetu hapa rombo umekuwa kijana mchapakazi japo hatujui unapotokea na haujawahi kutuweka wazi. na ni kijana mwenye adabu pia vijana wenzako mnaouza wote pale sokoni mamsera wanakusifia ningependa umuoe binti yangu Haikande pindi ntakapoondoka dunia hii .. mwanangu aikande hapa utakuwa mikononi salama..

"Ni kweli baba .. aliitikia aikande "

Daah yule mzee angejua nilikuwa nawatapeli wanaume wa mkoani pale sokoni karume mpka wanatoa kamasi kwa kulia asingeongea hayo maneno
 
Nimefanikiwa kutengeneza urafiki na mama muuza genge hadi katokea kunipenda na kuniamini sana. Alipenda kujua maisha yangu ya kiroho na maisha ya kawaida na kuridhika nayo.

Baada ya kumaliza chuo 2019 niliamua kujiongeza na mambo mengine nje ya nilichosomea. Mapema nilipanga geto. Nimekuwa mteja wa huyu mama kwa mda kidogo, tukipiga stori na kunishauri kuhusu maisha.

Juzi kati amezidiwa du kumbe alikuwa na tatizo kubwa la kiafya[emoji27] na kulazwa nilijitoa kwa moyo wangu wote kumsaidia ila hali yake ilizidi kuwa mbaya.

Ni single mama mwenye mtoto mmoja wa kike mwenye tabia nzuri sio kama Paula yupo chuo mwaka wa 3 ni mzuri. Juzi kati alituita na mwanae, sitasahau alichosema[emoji22] " mwanangu Eliza wanaume ni wengi ila E" awe mume wako mtarajiwa ninae kushauri umpende kama anavyo mpenda mama yako.

Mama [emoji3526]Akatabasamu akanangalia. Akanambia mwanangu ni mzuri na nimemlea vizuri kwa ajili yako. Mama yake leo hayupo. [emoji22]. Siku ya 15 kwenye mahusiano na nitamuoa.
Alivyowaita alikuwa ICU ama wap [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wahuni wa uingereza walisema ukiona the Deal is too Good, Think twice

Kama demu amekupenda kwasababu mama yake kamwambia basi jua ipo siku memory za mama zikipungua atakula chochoro..

Ila kama unampenda endelea nae tu,, mpe mahaba motomoto na usisahau kutafuta hela.. Nasisitiza tena tafuta hela za kutosha

Utanishukuru baadae...
 
Well said, Katika point mzee mkubwa ni kutafuta pesa, hilo nakushukuru saivi baadae ni mbali
 
Nimefanikiwa kutengeneza urafiki na mama muuza genge hadi katokea kunipenda na kuniamini sana. Alipenda kujua maisha yangu ya kiroho na maisha ya kawaida na kuridhika nayo.

Baada ya kumaliza chuo 2019 niliamua kujiongeza na mambo mengine nje ya nilichosomea. Mapema nilipanga geto. Nimekuwa mteja wa huyu mama kwa mda kidogo, tukipiga stori na kunishauri kuhusu maisha.

Juzi kati amezidiwa du kumbe alikuwa na tatizo kubwa la kiafya😰 na kulazwa nilijitoa kwa moyo wangu wote kumsaidia ila hali yake ilizidi kuwa mbaya.

Ni single mama mwenye mtoto mmoja wa kike mwenye tabia nzuri sio kama Paula yupo chuo mwaka wa 3 ni mzuri. Juzi kati alituita na mwanae, sitasahau alichosema😢 " mwanangu Eliza wanaume ni wengi ila E" awe mume wako mtarajiwa ninae kushauri umpende kama anavyo mpenda mama yako.

Mama ☺️Akatabasamu akanangalia. Akanambia mwanangu ni mzuri na nimemlea vizuri kwa ajili yako. Mama yake leo hayupo. 😢. Siku ya 15 kwenye mahusiano na nitamuoa.
wewe umekabidhiwa na mama ila binti atakuja kukutana na kupendana natakayempenda
 
Back
Top Bottom