Kanikabidhi binti yake nimpende

Kanikabidhi binti yake nimpende

Huko Mara mwenzako katolewa sifongo .. Kisa wazazi wa mwanamke walimchagulia mwanaume wa kuolewa naye....baada ya ndoa siku ya 14 jamaa kaomba mechi kapewa kimoko cha kwanza na cha mwisho alipomaliza na kulala zake binti kachukua upanga na kumkata shingoni mara 3 na baada ya hapo binti[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Amesema baada ya kufanya kitendo hicho Happy alikwenda kwenye nyumba ya mkwewe na kuchukua chakula na kuanza kula.
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Anatizama sana movies huyo dada ama? Mbona umafia wake ni wa uhalisia zaidi[emoji23]
 
Wadau wanasema ni swala la muda tu umejipangaje kwa hilo Mkuu?.

Ila haya mambo yapo sana nimepata kuyashuhudia ila hadi mzazi wa binti kukwambia ina maana mna ukaribu mkubwa sana.

Hii inaweza kuwa chai ila haya mambo sio chai yapo huku mitaani, hasa kama kijana una elimu nzuri na tabia yako inayojulikana ni ile njema. Hii situation itakupata tu.
 
Back
Top Bottom