Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwema wakulungwa?
Kuna kabinti shemeji yangu niko naye karibu sana. Mishe zake zote ananiambia na mimi ndiye mshauri wake mkuu.
Kila nikitupia nyavu kimasihara anagusia kuwa anamwogopa dada yake.
Majuzi nikamfungukia live akaniambia no. Hataki kumuumiza dada yake. The next day nikampelekea chupi one dozen za ukweli kapokea na kashukuru.
Sasa huyu nimpotezee au niendelee kutupia nyavu?