Kanikatalia ila nimempa zawadi ya chupi kapokea

Status
Not open for further replies.
BBd
Kwema wakulungwa?
Kuna kabinti shemeji yangu niko naye karibu sana. Mishe zake zote ananiambia na mimi ndiye mshauri wake mkuu.
Kila nikitupia nyavu kimasihara anagusia kuwa anamwogopa dada yake.
Majuzi nikamfungukia live akaniambia no. Hataki kumuumiza dada yake. The next day nikampelekea chupi one dozen za ukweli kapokea na kashukuru.
Sasa huyu nimpotezee au niendelee kutupia nyavu?
Ndio nipo hapa namvua hiko kyupi
 
Yaani wewe ni mjinga kabisa
Unamnunulia shemeji yako zawadi ya nguo unategemea aikatae?
Kwa taarifa yako zawadi yoyote unayo mnunulia shemeji yako haina uhusiano na mapenzi
Shemeji anayeweza kukataa ni yule anayejiweza (mwenye kazi au Biashara yake nzuri) ambaye hangekuwa na huo muda wa kukaa kwako. ILA ujue unahatarisha Ndoa yako; Ukiendelea kumfata fata akachafukwa na kumjulisha dada yake kuwa umemnunulia zawadi ya Chupi, utajua kwa nini Bundi huruka usiku wakati ndege wengine huruka mchana. Kumbuka Sio shemeji wote Malaya!
 
Kwema wakulungwa?
Kuna kabinti shemeji yangu niko naye karibu sana. Mishe zake zote ananiambia na mimi ndiye mshauri wake mkuu.
Kila nikitupia nyavu kimasihara anagusia kuwa anamwogopa dada yake.
Majuzi nikamfungukia live akaniambia no. Hataki kumuumiza dada yake. The next day nikampelekea chupi one dozen za ukweli kapokea na kashukuru.
Sasa huyu nimpotezee au niendelee kutupia nyavu?
Muda si mrefu utakua Marehemu! Kua makini sana! Huwezi kula dada mtu na mdogo wake,na wakae kimya! Hiyo ni dharau kubwa sana
 
Wote niliowapa zawadi ya chupi niliwakula tena ckuwa natumia nguvu sn nikimwambia tu nataka nikuvishe zawadi niliyokununulia nione umependezaje alikua anashitukia jiboro fc ni ground natupia vyanda
Basi unajiona mjaanja...hao wote uliowakula walikuwa wako tayari kuliwa bila hata kuwanunulia hizo nanihii
 
Poa. Ngoja niachane naye .
Kwanza nyapu zenyewe zote zinaproduce undefined smell
Maneno ya mkosaji hayo mkuu, by the way, kwani wale ulio-dai kupita nao mwanzo wako wapi?

Kama umezidiwa sana na libido si uwaombe wale wakutunuku?

Kuliko kukomalia mahali ambapo kwa kifupi hupendwi.
 
Basi unajiona mjaanja...hao wote uliowakula walikuwa wako tayari kuliwa bila hata kuwanunulia hizo nanihii
Jamani mbona ata nyie tunawapaga maneno matamu kama vile wee mzuri kuliko wanawake wote huku ukweli unajulikana....ndio technique za kukufanya ujisikie wa kipekee jamani
 
Hahaa eti we mzuri kuliko wanawake wote... nyumbani sina kioo? Watoto wa sekondari labda ndio mnawala kw a upuuzi huu. Yaani mimi na utu uzima huu niliwe kisa nimeambiwa mzuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeh bwana eeh tena mimi ukitaka nikufukuze kabisa mbele ya uso wangu uanze vijimaneno vya kijinga
 
Ah wapi hamnaga mwanamke asiependa kuambiwa wewe mzuri....wanaume wenyewe tunapenda kuambiwa bby u handsome.....maneno matamu ndio yanalowanisha kyupi ya mwanamke
 
Inawezekana lakini sio mpaka kuvua kyupi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom