Kanikubalia lakini yuko busy sana

Yaani unatega alarm kabisa unaweka na reminder!? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unasali kanisa gani mkuu i mean aneo lilopo pia??
 
That is a clear Red Flag
 
Huyo ana Mchumba mwingine so anajaribu kuangalia wapi achague .......ila kwa sasa mzani hauko kwako.

Kwa kuwa unampenda na unataka kumuoa msaidie haraka sana.

Be serious na onyesha kweli unamhitaji.

Ilishanitokea nikapuzia Mtoto mkali nikaona kama ananisumbua...mwisho wa siku akaishia kuwa mchepuko wangu maana alikuja kuolewa na Mtu mwingine.....Kaachika kwa sasa ananisumbua nimuoe.

Kosa lilikuwa langu. Kama ningemkomalia angekuja kwangu si unajua Akili za Wanawake hata kama wamesoma linapokuja swala la Mapenzi wanakuwa kama Washabiki wa Yanga.
 
Niliwahi kuwa na mpenz kama huyo

Mimi ndo kila mara nilikuwa wa kwanza kumtext..hizo sms anavyojibu sasa nikaona hapa hakuna mtu naforce tu

Mambo mpenzi wangu ..unajibiwa saf ..imeisha hiyo

Vipi hapo nyumbani lakini ...unajibiwa nzur..imeisha Hi yo

Unamaliza tena , nilikuwa nakujulia hali mpenzi wangu ..unajibiwa 'K' ..imeisha hiyo

Nikawa huyu dada alinikubalia ili iwaje ? nikampotezea mazima na yeye hakunitafuta tena.

Nikaja kuonana na Dada ake ndo akaniambia kuwa mwenzio alikukubalia tu ili usiendelee kumsumbua.

Wanaume tuache kutongoza demu wiki 2 ..umekataliwa siku ya kwanza potezea ..huyo hajakuelewa.

Mwanamke akikuelewa siku hiyo hiyo unapewa jibu ..hata Kama ana mtu wake atakwambia hana.
 
Hivyo ndio ninavyojua mkuu, mwanamke akikuelewa kwanza yeye mwenyewe ataonyesha uhitaji, sasa huyu bana nikimzingua nikimwambia afanye mambo yake hataki, sema kuna mwamba hapo juu amesema atakua yupo na mishikaji mwingine anapima nani anafaa
 
Hivyo ndio ninavyojua mkuu, mwanamke akikuelewa kwanza yeye mwenyewe ataonyesha uhitaji, sasa huyu bana nikimzingua nikimwambia afanye mambo yake hataki, sema kuna mwamba hapo juu amesema atakua yupo na mishikaji mwingine anapima nani anafaa
Mptezee wacha kuwa SIMP umri wako mdogo ku SIMP mapema bado unamda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…