Kaninyima namba ya simu ila mzigo kanipa simuelewi

Kaninyima namba ya simu ila mzigo kanipa simuelewi

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Kuna manzi simuelewi sijui ana agenda gani yani nimemsomesha hadi kanipa mzigo nikamuomba namba ya simu kakataa katakata, tukionana ananipa mzigo bila tatizo ila namba yake amegoma kabisa kunipa.

Huyu atakua ana shida gani? Kuna mda huwa natamani nimpigie napata shida sana yani hadi nikutane naye ndio anipe mzigo.
 
Bora angeninyima namba kuliko mateso anayonipa kushindwa kuwasiliana nae alafu nimemuelewa ile mbaya alafu mtamu sasa kuna mda huwa natamani kuwa nae nashindwa.
Kama unapata nafasi ya kuishika wakati wa shoo, si ujibipu, au gonga *106#, afu chagua 1
 
Back
Top Bottom