Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivo jua humfikishiUnabib vipi iko kwenye lock? Labda upige emergency huko
Yaani namba ya simu imekuwa siri kuliko sehemu za siri alizokupa?Kuna manzi simuelewi sijui ana agenda gani yani nimemsomesha Hadi kanipa mzigo nikamuomba namba ya simu kakataa katakata, tukionana ananipa mzigo bila tatizo ila namba yake amegoma kabisa kunipa. Huyu atakua ana shida gani? Kuna mda huwa natamani nimpigie napata shida sana yani hadi nikutane nae ndo anipe mzigo.
Nataka kula mzigo ndiyo ila kwa wakati ninaotaka ndiyo umuhimu wa simu, sasa mpaka itokee nimkute sehemu ndiyo nimle alafu ukute siku hiyo nishakula mzigo mwingine inakua siyo tamu.Wewe si unataka kula mzigo? Achana mengine yote ya nini hayo kikubwa anakupa lengo kuu
Halafu anaonekana mtamu huyo,, usiwe mlafi sana lakini! Kama umekula kwingine si unatulia siku hiyo mkuu?Nataka kula mzigo ndiyo ila kwa wakati ninaotaka ndiyo umuhimu wa simu, sasa mpaka itokee nimkute sehemu ndiyo nimle alafu ukute siku hiyo nishakula mzigo mwingine inakua siyo tamu.
Nimempa sana na anayo mimi ndo sina ya kwake. Yani hatumi msg wala hapigimpe yako...ipo sku atakutafuta. Unashindwa kujiongeza mzee mwenzangu.
Sent using Jamii Forums mobile app