Mara ya kwanza aliniambia hana simu akanipa nikapiga, mara ya pili alikua na simu nimehangaika nae kagoma kabisa kunipa namba yaani sijamuelewaAna ntu wake ambaye anampenda ,anaogopa usije kuyavuruga kwa kumsumbua kwa kupiga simu yake endapo atakuwa naye pamoja.
Ndio hivyo ana NTU wake.Mara ya kwanza aliniambia hana simu akanipa nikapiga, mara ya pili alikua na simu nimehangaika nae kagoma kabisa kunipa namba yaani sijamuelewa
Kila kibaya kina uzuri wake hebu heshimu mawazo ya mwenzako, hajakunyima namba kwa bahati mbaya huyo ana akili timamu na anajua anachokifanya.Bora angeninyima namba kuliko mateso anayonipa kushindwa kuwasiliana nae alafu nimemuelewa ile mbaya alafu mtamu sasa kuna mda huwa natamani kuwa nae nashindwa.
Anajua hata akikupa namba pesa humtumiii [emoji16]
Si ni kweli eti? Namba ya nini sasa? Kubebishana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unapata nafasi ya kuishika wakati wa shoo, si ujibipu, au gonga *106#, afu chagua 1Bora angeninyima namba kuliko mateso anayonipa kushindwa kuwasiliana nae alafu nimemuelewa ile mbaya alafu mtamu sasa kuna mda huwa natamani kuwa nae nashindwa.
Bora angeninyima namba kuliko mateso anayonipa kushindwa kuwasiliana nae alafu nimemuelewa ile mbaya alafu mtamu sasa kuna mda huwa natamani kuwa nae nashind
tofautisha kati yakupendwa na kuonewa huruma