Kaninyima namba ya simu ila mzigo kanipa simuelewi

Yaani namba ya simu imekuwa siri kuliko sehemu za siri alizokupa?

Yaani ni heri akupe sehemu za siri kuliko namba ya simu?

Habari mbaya kwako, huenda njema kwake. Hapo hakuna mahusiano, maana ili pawepo na mahusiano lazima mawasiliano yawepo.

Nyinyi mnachokifanya ni kama kuku tu au mbuzi.
 
Wewe si unataka kula mzigo? Achana mengine yote ya nini hayo kikubwa anakupa lengo kuu
 
Wewe si unataka kula mzigo? Achana mengine yote ya nini hayo kikubwa anakupa lengo kuu
Nataka kula mzigo ndiyo ila kwa wakati ninaotaka ndiyo umuhimu wa simu, sasa mpaka itokee nimkute sehemu ndiyo nimle alafu ukute siku hiyo nishakula mzigo mwingine inakua siyo tamu.
 
Nataka kula mzigo ndiyo ila kwa wakati ninaotaka ndiyo umuhimu wa simu, sasa mpaka itokee nimkute sehemu ndiyo nimle alafu ukute siku hiyo nishakula mzigo mwingine inakua siyo tamu.
Halafu anaonekana mtamu huyo,, usiwe mlafi sana lakini! Kama umekula kwingine si unatulia siku hiyo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…