Kaninyima namba ya simu ila mzigo kanipa simuelewi

jini hilo.....halafu anajua huna hata ya kutolea haina haja ya kukupa namba
 
jini hilo.....halafu anajua huna hata ya kutolea haina haja ya kukupa namba
Sehamu ninayomkutaga ni sehemu ambapo mimi naenda kuchukua vifaa duka la jumla na yeye pia yuko na mishe hizohizo so anajua mpunga ninao wa kumpa
 
Lengo lako ni Mzigo au namba za simu? Mbona wengine hamueleweki? Simu ya Nini unataka kurusha hela
 
Ww shida yako pussy au namba.
Angalia cha muhimu.
 
mkuu atakua jini huyo sio binadamu..
 
Bora angeninyima namba kuliko mateso anayonipa kushindwa kuwasiliana nae alafu nimemuelewa ile mbaya alafu mtamu sasa kuna mda huwa natamani kuwa nae nashindwa.
Tangaza ndoa
 
Ukikuta naye usimwambie ishu za kukupa namba fanya kama umeshapotezea au kusahau. Sasa mkiwa mnapovunjia amri ya 6 ficha simu yako then badae anza kuitafuta kuwa kama ume panic hivi hujui kama ulikuwa nayo then ghafla mwombe simu ujibipu

Akikunyima basi huyo ni hatari sana kwako achana naye maana Vaselin au kifo kinakusubiri mahali
 
We bila shaka ni wale madomo zege na wazee wa nyeto, wasiopata mademu. Kama vipi nunua vitafunio tuu
Kama hii story ni ya kweli basi wewe demu kakudharau kakuona huna maana,siku ya kwanza alipokwambia hana simu,wewe kama Mwanaume ungemnunulia,na hapo sio kwamba alikua hana simu bali alikua anakupima tu,

Sasa hivi ameamua akutumie kama Sex toy tu,

Hata jambo dogo kama hilo unakimbilia kuja jf kuuliza? Ama kweli wanaume tunazidi kupungua kila kukicha.
 
Sawa mimi sex toy basi, kwani si nataka namba yake nimtombe vizuri ninapokuwa na nyege shida yako nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…