Kaninyima namba ya simu ila mzigo kanipa simuelewi

Unajibip simu ina lock? How?
 
Jamani huyu manzi jana tena nimekutana nae nimemgalagaza ile mbaya imefika muda wa kumuambia namba ya simu kaniambia tena hana simu wakati juzi alikuja na simu, yaani jana kidogo nimchape makofi. Kaondoka tumenuniana sijui kama atanipa tena.
 
Ulikutana nae vipi??
 
Sawa Sasa we unataka namba ya nn wakati unajua pakumpata? Au unataka uoe?
Sasa yeye anakuja pale kwa manunuzi yake na mimi nakuja pale kwa manunuzi yangu kukutana ni kwa kubahatisha. Nataka niwe na uhahika wa mbunye muda wowote nikimuhitaji. Hataki kunipa namba yake.
 
Ukisoma tu kwa haraka inaonesha huyo si mkeo, si demu pia...
Sasa sijui walalama nini
 
Sasa yeye anakuja pale kwa manunuzi yake na mimi nakuja pale kwa manunuzi yangu kukutana ni kwa kubahatisha. Nataka niwe na uhahika wa mbunye muda wowote nikimuhitaji. Hataki kunipa namba yake.
Ahaa Ukiona hivyo ana mtu wake anaishi nae na hataki usumbufu anaona labda utakuja kumuharibia
 
Jamani huyu manzi jana tena nimekutana nae nimemgalagaza ile mbaya imefika muda wa kumuambia namba ya simu kaniambia tena hana simu wakati juzi alikuja na simu, yaani jana kidogo nimchape makofi. Kaondoka tumenuniana sijui kama atanipa tena.

Naona watu wengi hawakuelewi, lakin mi nlivyokuelewa ni kwamba huyo manzi umemwelewa yaan ndo maana unapata shida kuhusu mawasiliano yake, km ishu ingekuwa ni kumtia tu trust me usingepata tabu hiyo kuna watu wanakulana kimahasira miaka nenda rudi hata majina hawajuani wala namba hawana. Nakushaur ufanye uchunguzi wa kutosha kuhusu huyo dem kuna mawili.
 
Kila ukienda kumla uwe na kilainishi lolote laweza kukutokea,utakuja kunishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…