Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

Uyu ndo alivyo,
Nikiwaambia mamaJ sio wife material huwa mnaniona nakosea Sana.

Umeyaona mwnyw mkuu[emoji4]
Kweli kabisa inaonekana alikuwa anafanya kukuridhisha ili akuweke sawa umsikilize kumbe mzee mzima una akili timamu kila Jambo linatakiwa liende na mstari Sasa anaona unamchelewesha huyu ukimuwezesha akasimama imara atakusumbua Sana anaonekana ni mbinafsi Sana dah pole Sana mkuu
 
nimegundua mama j alikuwa anakuuzia kidimbwi

kule kuhangaika kote na kumuita sexy machine kumbe alikuwa yupo kazini
[emoji23][emoji23] leo ukweli umejulikanaa

rudisha mahaba kwa mkeo atakupa gem poa kuliko huko ulikokuwa unanunua
Ha ha ha.....
venossah wee mkorofi Sana.

Kwa wife nipo Sana, sema Sasa ata apige show vipu, maumbile na mamaJ wametofautiana Sana

Ladha haiwez kua ile ile.[emoji4]
 
Uyu Ni mwanamke wa makasheshe, ndo Maana suala la ndoa au KUZAA na yeye kila nikifikiria nasita.

Bila kubadili atanisumbua Sana mbeleni
 
Ndio na ukumbuke ameshashauriwa kuzaa je unajua mengine aliyoshauriwa akayaweka akilini
Uyu kesho TU ntaenda kumuweka sawa, siwez KUMPA Ilo gepu kabisa. Atatulia TU[emoji4]
 
Huyu hajawa tu na majukumu ya kulea ukitaka kujua mwoe uone naye atakua mvivu hadi utashangaa.
 
Ukienda usisahau kutupa mrejesho,Vipi hivi yule Mama wa Saloon aliye mupa ushauri wa azae na yeyote bado wana ushosti na Mama J au ndo ulivuruga mazima ?


Huwa najitahidi kusoma thread yote na comment zote[emoji16]
 
Ukienda usisahau kutupa mrejesho,Vipi hivi yule Mama wa Saloon aliye mupa ushauri wa azae na yeyote bado wana ushosti na Mama J au ndo ulivuruga mazima ?


Huwa najitahidi kusoma thread yote na comment zote[emoji16]
Uyo walivurugana moja kwa moja na saluni kahama kabisa
 
imebidi nicheke tu mkuu....ila uliahidi ndg kamilisha ahadi ya watu...kumbuka hukumtahadhalisha kama kutakuwa na emergency yeyote na makubaliano yalikuwa hayo hayo ambayo wewe ulimlazimisha ayafanye na kweli upande wake katekeleza

wewe ndio wa kulaumiwa tekeleza ahadi
 
Mazingira hayaruhusu,
Nikilazimisha kumridhisha yeye nitayumbisha mtaji wangu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…