Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Ndio maana ukanifanyia makusudi eeee…Wee acha tu... Mambo mengi sana leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana ukanifanyia makusudi eeee…Wee acha tu... Mambo mengi sana leo
Mapenzi ya hivi ni matamu, mnagombana weee alaf sex inakua ndio patanisho lenuHa ha ha ...ndo alivyo Sasa mamaJ.
Yeye akifoka foka hivo, baada ya MDA anatulia TU mwnyw.
Nikimfata tukafanya kimoja, ndo anasahau kabisa tunaanza upya[emoji4]
Kila siku mnagomba ila.hakuna anaeweza kumuacha mwenzake zaid ya biti tuKwann mkuu
Ndo maanaMama watoto anakichanga analea
KabisaaHongera…. Ila mama J yuko njiani kukuacha ukimpa tu hela ya dukani ataanza kukupiga matukio hutaamini
[emoji23][emoji23][emoji23]Akinipiga matukio nampiga matukio pia, tunaonyeshana makali
Kama series[emoji23][emoji23]baba j na mama j mnavituko sana
Mamii hulali kama mieKama series[emoji23][emoji23]
Sema Mangi umekamatika masawee[emoji28][emoji28][emoji28]Kwani kilikua na ubaya gani akianza na iyo 2.8, Tatizo lake uyu maisha ya kuiga,Anataka kuanzia juu wkt hata msingi wa kuuza karanga Hana.
Mi Mwnyw nmeanza na mil.7, unajaribu kuigawa hata haigawanyiki magepu kila Kona. Ila nmepambana mpk nmekuza mtaji.
Tatizo la uyu nikimuendekeza kila anachotaka nayumbisha mtaji wangu, afu nafilisika KABISA.
Lazima niende na mahesabu makali nisiathiri mzunguko wangu.
Yaah tunagawana umasikiniYote kheri mkuu, Pamoja tunakuza uchumi
Umemfananisha na mchepuko wako ule? [emoji28][emoji28][emoji28]Weka picha ya mama J...
Anaonekana ni pisi moja kali sana...
Kanikumbusha jambo, aliposema "Na number yangu futa kabisa" Nimejikuta natabasamu...
hahahahaha...
Ulale sasaUmemfananisha na mchepuko wako ule? [emoji28][emoji28][emoji28]
Niutoe wapi usingizi ndg yanguUlale sasa
Wewe si umeamua?[emoji16]Mamii hulali kama mie