Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

Yaani huyo Mama J alivokuandika ni kama Mimi ninavoandikiwa...Wanawake wote ni Mashetani 🤣🤣🤣🤣.

Hayo sijui hujali, shida zangu sio kipaumbele alafu na hizo story za kukuruhusu ufanye kitu alafu anakasirika
 
Ila manamake yametushinda ujajnja asee, yani wananufaika vingi sana kwenye mahusiano, af sisi ni kumwaga tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana wanatuita madanga
 
Mrejesho.......
Jana baada ya mihangaiko yangu ikabd niende kwake. Nmefika mida ya saa 1 usiku nikamkuta nae kumbe ndo kafika kutoka kazin mkoba na viatu vyake bado viko seblen hajabadili nguo za kazi kakaa zake seblen anaangalia tv .

Kuniona TU, kanuna kavuta mdomo
uku anaendelea kukata kata nyama. Sikumsemesha na Mimi nikakaa kimya nikiangalia icho icho nilichokuta anaangalia uku nikipuruzi jF.

Baada ya kumaliza kukata nyama, Kaenda nje kachukua jiko la mkaa karudi nalo ndani jikoni kabandika nyama yake na kaichemsha kisha kisha karud seblen kuendelea kuangalia tamthilia Yake kwenye tv. Mimi vile vile kimya kimya sijamsemesha.

Ukupita MDA Sana,
Akatoa blauzi na sidiria yake, akavuta kistuli akanyoosha miguu yake akiendelea kuangalia tv uku anabonya bonya Simu yake. Wote kimya Hamna anaemsemesha mwenzie.

Sasa kuna MDA jamaa yangu mmoja akanipigia tukakutane Kuna Ishu tuongee, Iyo siku ya miadi nilishasahau kumbe imeangukia siku ile. Ikabd niondoke pale.

Nmefka kwenye gar Kabla sijaondoka
nikakumbuka niliacha anapikia mkaa,afu sijamuachia Ela ya kula. ikabd nirud niilete gari mpk nje getini kwake.

Kisha nikaingia ndani kwake Nikaenda jikoni nikabeba mtungi uloisha, nikamuachia posho ya meza elf 10 Kisha nikaondoka pale.

Nmeonana na jamaa yangu,
nmerud kwangu nikawaza nimpigie tuyamalize moyo ukasita. Nikaacha.

Leo asbh ikabd ningie wasap nione Kama Kuna chochote, nikagundua kumbe kashanitoa kwenye block.

Maana aliponiblock,
Profile picture Yake na last seen viliacha kuonekana kabisa. Nikatasamu[emoji4]

Mungu akijaalia leo jion nikifunga ntarudi kwake nimpelekee gesi yake,
ila moyoni mwangu naamini yameshaisha.[emoji120]
 
Ila manamake yametushinda ujajnja asee, yani wananufaika vingi sana kwenye mahusiano, af sisi ni kumwaga tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana wanatuita madanga
Kivipi mkuu[emoji848]
 
Yaani huyo Mama J alivokuandika ni kama Mimi ninavoandikiwa...Wanawake wote ni Mashetani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Hayo sijui hujali, shida zangu sio kipaumbele alafu na hizo story za kukuruhusu ufanye kitu alafu anakasirika
Ha ha ha..,
Very interesting.
Hebu fafanua vizur Apo mkuu.
Kumbe siko peke yangu eeeh[emoji4]
 
Back
Top Bottom