Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

Ni mwanamke mmoja tu ndo ali mruhusu mme wake atembee na kahaba ni Sara wa ibrahimu kweny Bible [emoji23][emoji23][emoji23]
Uyu ndo kataka Mwnyw,afu sahv analalamika
 
Unanitukana hv[emoji23][emoji23] ***** yaan nafuta namba nkikutana na ww barabarani nakupita kama sikujui,, ujiroge siku unitafute nakutreat kama takataka haijalishi ni ulikuwa fundi kama jini mahaba

Oya mwamba una moyo,, mitusi yote hiyo unakausha
 
Nishamzoea uyu, alikua kapanik Sana [emoji4]
 
Mwanamke ni LAZIMA AJUE hakuna tendo lisilo na matokeo,,
Ukinifanyia upuuzi PUNISHMENT IS INEVITABLE
Unajua ile Mara ya kwanza nilivokataa alijiona special Sana mpk kunikebeh kua kwake sipindui.

Kaniaogezea kahaba nikakataa,akaniona bwege.

Sijajua alikua ananitega au vp
 
Huyo demu Yuko money oriented na ikitokea tu umempa mkwanja anaoutaka ujue mission yake imekamilika na atakuachia manyoya ubaki maho yamekutoka Kama kinyonga anavuka barabara.

"Mchepuko na hasomeshwi, wala hafunguliwi Miradi". Huwezi kuelewa Leo Hii kauli.
 
Huu ni ufala.

Ila mwanamke hawezi akanitukana na kesho nikaamka namjulia hali.

Huu ni ujinga.
Ha ha ha.....
Nilijua nilichomfanyia ndo Maana nmerelax mkuu.

Dawa imepenya[emoji4]
 
Katika dunia yako ya michepuko nadhani una nuksi kila leo una jipya hivi unapata mda hata wa kumkumbuka Mungu na mkeo kweli kijana hivi punde utapata kisukari na presha.
MKE wangu hanipi presha KABISA.
mpole Sana na,mcha MUNGU na Hana makuu yoyote.[emoji4]
 
Unajua ile Mara ya kwanza nilivokataa alijiona special Sana mpk kunikebeh kua kwake sipindui.

Kaniaogezea kahaba nikakataa,akaniona bwege.

Sijajua alikua ananitega au vp
Ila umeonyesha ukomavu saana kujibebea baamedi. Mwanaume unatakiwa kuwa na msimamo.

Huko wapi... Mimi Niko boardroom hapa Sinza muda huu. Njoo tule tungi tujifariji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…