Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Nami sitakukorofisha kabisa...Hahahha ubavu huo kwa sasa hivi sina
Nimekoma hahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami sitakukorofisha kabisa...Hahahha ubavu huo kwa sasa hivi sina
Nimekoma hahahah
Hhahhaha sio mimi labla mtu mwingine😅Umesahau sweetheart... hahahaha...
Ila wanawake wakorofi hua wanavutia sana muda mwingine...Ha ha ha.....Iyo picha siweki
Ila mada ya jinsi alivyo nishawekwa Sana humu nyuzi zangu za nyuma.
Fuatilia vizur utagundua mkuu[emoji4]
Yah do that please sweetheartNami sitakukorofisha kabisa...
Ha ha ha....Mara nyingi huwa Ni mikwara iyo.Nishawahi kuambiwa hivyo...
Povu kama lote alafu " Number yangu futa kabisa" hahahaha
Mambo yangu najiachia mwenyewe, nikikuletea utaugua kwa stress...Yah do that please sweetheart
Maana this time ugomvi utakua ni mkubwa lol
Hakika, ni kawaida sana... Ukitabasamu unaonekana unadharau...Ha ha ha....Mara nyingi huwa Ni mikwara iyo.
Uyu mamaJ sio Mara moja anasema hivyo,
Tena saa nyingine ananiblock KABISA, nami nikakaa kimya baadae hasira zake zikiisha ananitoa block na kunipigis mwenyewe[emoji4]
Kwa hili sina hakika...Umeona eeh,
Yaan Kuna MDA ukiwa na mtu mpole Sana,yule mkorofi unamiss[emoji4]
Kajiona yeye ndio mrs DeepPondWanawake mnapenda umiliki Sana,
yule kahaba kumkalisha siti ya mbele ilikua nongwa kwelikweli
Aaah wapi,
Uyu kumuacha bado Sana, bado Niko nae Sana.Hana jeuri yoyote ile[emoji4]
..na anakuombea(ongezea hilo mkuu)[emoji23][emoji23][emoji23]MKE wangu hanipi presha KABISA.
mpole Sana na,mcha MUNGU na Hana makuu yoyote.[emoji4]
Serious mkuu,Kwa hili sina hakika...