Tetesi: Kanisa jipya Dar, Waumini wasali wakiwa uchi

Mbona hilo ni kanisa la kwanza kabisa!! hukumbuki enzi za hawa na adam ktk bustani ya eden ya kuwa nyoka aliwadanganya? ndiyo wakaanza kujiona wapo uchi kwa sababu ya dhambi waliyotenda? hivyo kwa yeyote ashangaaye kanisa hili ni kwa sababu ya dhambi zake.
 
Hii inanikumbusha kwenye utawala wa Bill Clinton mwaka 1993 kuna jamaa alianzisha ushenzi kama huu ni jambo chafu na lilikemewa sana na jamaa walipigwa baada ya serikali kuona wamekiuka maadili kabisa ilichukua masiku mengi na waliuwawa wafuasi 70 na kitu.

Sasa na hawa washughulikiwe kabla hawajaleta laana zaidi

 
Mmmmh uchi kabisa itabidi niende nikaone hayo majaabu hawapigani miti lkn alafu usiku isije ikawa wanageuzana tuu na tamaa yazimwa mwee
 


Tatizo la kuiga Nigerians sasa limefika pabaya. Ndiyo maana I never trust any pastor no matter who he/she is, they are simply actors who can change at any given moment kurubuni waumini wao.
 
MBONA MM NASALI KWA MTUMISHI HUYO! NABII TITO, KIGAMBONI? HAKUNA HIVYO VITU MSIPOTOSHE UMMA. AU NDO KUCHAFUANA?
 
Namfahamu sana Tito, alikuwa kinyozi hapa Arusha alikuwa na kibanda cha Saloon hapa makao mampya karibu na limpopo, baadae akaendesha tax sana hapa stand ndogo, then akapotea kwa muda mrefu na kuja kuibukia kwenye Unabii, ila unabii wake ni wa kuhalalisha kunywa pombe, kahalalisha pia house girl kuwa msaidizi wa mkeo kwa mambo yote hadi ya faragha, bangi pia kwake ni mmea halali kwa biashara,
Sasa mi sishangai kama Nabii Tito kaazisha kanisa la kusali ucku, basi huyu ataisumbua sana serikali
 
utumwa wa akili (mental slavery) ni mbaya sana, na hapo ndipo adui (shetani) anapo ingiza watu king. mwingine huko kenya kaungua mwili kisa eti walikuwa wanamtoa pepo kwa kumchoma moto.

imani haiondoi akilii
 
Jipya kwako mbona lipo Simu nyingi likapigwa marufuku seme limerudi tena
 
Daaah''ninavyozijua ngunga zangu,yan tuwe uchi afu mbele yangu kuwe na muumin wa kike kafungasha balaa!!nadhan mahubir yatakua km wanampigia mbuzi gitaa!
 
Jamani huu uyoga wa makanisa utatufikisha pabaya serikali na wananchi kwa ujumla tusipokemea.dah,kusali uchi!!!
 
Wewe ni MDAKU first class.
 
Hahahaaa....kuna siku nilikutana na mchungaji wao pale survey alikuwa anagawa vipeperushi eti linaitwa kanisa la mpapaso
 
ha ha ha ha ha ha ha ndio maaana mvua haisheshi au ikinyesha radi kubwa au mafuriko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…