Tetesi: Kanisa jipya Dar, Waumini wasali wakiwa uchi

Tetesi: Kanisa jipya Dar, Waumini wasali wakiwa uchi

Heshima kwenu wadau wa JF;

Naomba kuanza kwa kusema hakuna biashara isiyokuwa na wateja duniani, Haipo!, Biashara zote zinawateja wake hata kama utaamua kuuza maganda ya ndizi yatanunuliwa tu…….Tumia fursa

Mfano huo ulivyo Imenidhihilishia hata katika IMANI ZETU huwezi kuamini kwamba, kila Imani haikosi waumini hata kama ukianzisha kanisa la kusali miguu juu kichwa chini watakuja tu kama kondoo;

Kuna kanisa moja jiji dar- kigamboni 6.2km kusini-mashariki kutoka stand ya daladala kigamboni, limeanzishwa siku chache ambapo husali uchi wa mnyama peeh, kanisa hili viongozi wake ni pamoja na Yule jamaa aliyekuwa akinadi kuwa HOUSE GIRL/Shemeji/secretary wako au mjakazi wako wa kike ni halali kumtafna. Kanisa hilo lililoibuka upya ambapo kwa taarifa za kiinteligensia nilizopata leo ni ibaada ya nne naya mwisho kwa kigamboni, Ibaada zao huanza saa 6 usiku napengine hukesha kabisa na wakiwa wamezima taa, mmoja wa waumini aliye kuwa akinishawishi nije ibadani leo ili nione miujiza, kaniambia wanasali wakiwa uchi kwakuwa nguo nyingi ni mitumba ambapo zina unajisi huko zilikotoka na hata viwanda vingi huzitengeneza kwa nguvu za giza ili ziuzike haraka,kaongeza kuwa tunafanya hivo kwakuwa kwanza tulizaliwa bila nguo,adam na eva walipata neema kipindi walipo kuwa uchi ,MUUMINI huyu kanipa ubuyu mwingi ila kasisitiza isitoshe nguo zinakuwa zimepita kwingi hazifai kabisa kuomba ukiwa nazo PIA wanafanya kama ilivyo kwa imani zingine wavuapo viatu na kutawaza Waingiapo, maandiko ya kutafna mfanyakazi wa kike katoa kitabu cha IBRAHIMU ….ingawa aliniambia wanafanya kwa siri kutokana na waafrika wengi ni wapingaji, ambapo hata hawahitaji kibari cha serikali ili kusajili na kuliendeleza kanisa hili wao ni mbele kwa mbele. Kaniambia husali mwezi mmoja mmoja kila eneo na kuhama ili wasijulikane, mara nyingi husali Kigamboni,Tandika,Pugu,Kibaha,Mbezi,Sinza na Tegeta kwa kuzunguka mwezi hadi mwezi kila jumapili saa 6 usiku. Na kanisisitiza wapo hadi wakubwa wan chi hii…..Nimeelezwa mengi kwakuwa nilionyeshwa ushirikiano wa kutaka kujua ingawa wanapenda kulinda siri zao na hujulishana kwa sms tena wana lugha zao……..sasa je Hivi hizi dini zipo kwa ajili ya kuwakomboa binadamu kweli? Maana pia nimemkumbuka na Yule aliyetangazwa na BBC huko CONGO kwamba anajiita ni mungu wa tatu, na anawaumini wa kutosha….sasa kwa hili ibada saa 6 usiku leo labda waache kwa post hii.
nilishawahi kusema hapa uwepo wa kanisa hili ila watu waknicrush
 
Namfahamu sana Tito, alikuwa kinyozi hapa Arusha alikuwa na kibanda cha Saloon hapa makao mampya karibu na limpopo, baadae akaendesha tax sana hapa stand ndogo, then akapotea kwa muda mrefu na kuja kuibukia kwenye Unabii, ila unabii wake ni wa kuhalalisha kunywa pombe, kahalalisha pia house girl kuwa msaidizi wa mkeo kwa mambo yote hadi ya faragha, bangi pia kwake ni mmea halali kwa biashara,
Sasa mi sishangai kama Nabii Tito kaazisha kanisa la kusali ucku, basi huyu ataisumbua sana serikali
lazma bangi iwe inahusika inaelekea amechanganyikiwa huyu baba
 
Hahahaaa....kuna siku nilikutana na mchungaji wao pale survey alikuwa anagawa vipeperushi eti linaitwa kanisa la mpapaso
ndio huyu mang'aa wa kiume hawa ndo wanazidisha hasira za mungu ati kuna tumpapase bwana
 
MBONA MM NASALI KWA MTUMISHI HUYO! NABII TITO, KIGAMBONI? HAKUNA HIVYO VITU MSIPOTOSHE UMMA. AU NDO KUCHAFUANA?
khe nimeshaona kipeperushi kina picha ya housegirl wake na mkewe na hayo maneno huyu tito ndo asasema mwenyewe unasali kiaje hebu turekodie ibada yenu ili tujiridhishe
 
Hilo kanisa nikisali nitakua kitu mnara muda wote wa ibada
😀😀😀😀😀😀😀 gizaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa huoni kitu ila kuna kakipindi kanaitwa tumpapase bwana anaingia nabii na wanawake woote...kwanza halafu wanaume mnafwata baadae
 
khe nimeshaona kipeperushi kina picha ya housegirl wake na mkewe na hayo maneno huyu tito ndo asasema mwenyewe unasali kiaje hebu turekodie ibada yenu ili tujiridhishe


Karibu pm! Ntakupeleka ukajirekodie mwenyewe ibada hii takatifu ya nabii titto halafu ulete mrejesho!
 
Back
Top Bottom