Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Ole VuaObrigado!🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ole VuaObrigado!🙏
Julize kama kweli uyu mpumbavu ambae ni Padri anashiriki toa roho ya kiumbe asie kuwa na hatia kisa tu yupo na utofauti wa ngozi nyeusi , alafu Jiulize hata kama ni utajiri angepata kwa imani yake potofu je ni kwa ajili ya nani?Ujinga huu ndo ulinifanya kaa mbali na kanisa hili, kuna ubabaishaji wa ajabu sana msione wapo ndani ya majoho. Hakuna raha za dunia wazizofanya labda wale wa zamani ila sio hawa G - z
Acha tu, tuwaonee huruma wafuasi kama hao kwani tupo katika enzi za giza kubwa kuliko hata ile miaka ya 400.Haya wale wajinga waliokuwa wanatetea uovu na upumbavu wa huyu padri wako wapi?
Mara eti sio padri!!
Kuna wakatoliki ni wapumbavu sana hata paroko akibaka wake zao au kulawiti watoto wao, Bado wata mtetea paroko.
Ukatoliki ukogo juu ya sheria zote - za mbinguni na duniani; hata za kwake zenyewe.Juu ya sheria zipi mkuu?
^...the order refused paying compensation to the abused victims.^Wakatoliki ni Mashetani
Kuna huyu Father Kit Cunningham, alifira sana vijana wa wakatoliki wa Tanzania miaka ya 60 na 70, mpaka Queen Elizabeth alimvua heshima ya MBE
View attachment 3022803
Kanisa katoliki limejaa makashifa tu. Mara ushoga, mara kulawiti watoto, mara utakatishaji pesa vatican bank, mara kupora ardhi za watu, mara kula njama ya kumua mtoto alubino...nk. Kanisa liachane na mambo ya kidunia. Lijikite kwenye mambo ya kiroho.
Tunaomba taarifa zaidi kuhusu Fr Elipidius Rwegeshora.Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha kutoa huduma za kichungaji Padri, Elipidius Rwegoshora kufuatia tuhuma zinazomkabili za kuhusika katika mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novart.
Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, Jovitus Mwijage ametangaza uamuzi huo kupitia gazeti la Kiongozi linalotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), toleo lake la Juni 21 -27, 2024
Gazeti hilo limemnukuu Askofu Mwijage akikiri kuwa mtuhumiwa ni padri wa jimbo lake na amemsimamisha kutoa huduma zote za kichungaji mpaka hapo suala lake litakaposhughulikiwa na vyombo vya sheria.
“Tunahuzunishwa na taarifa ya mauaji ya Asimwe, kwani sisi kama Kanisa Katoliki ni walinzi wa kwanza wa uhai wa wanadamu. Tunaiombea familia yake na kuiombea roho yake ipate pumzio la amani mbinguni.
“Hata hivyo, tumesikia taarifa ya watuhumiwa na mmojawapo akiwa ni Padri Rwegoshora. Ni kweli padri huyo ni wa jimbo Katoliki Bukoba na tumechua uamuazi wa kumsimamisha kutoa huduma zote za kichugaji mpaka hapo suala lake litakaposhughulikiwa na vyombo vya sheria.
“Baada ya vyombo vya sheria kumaliza kazi yake, ndipo taratibu nyingine za kanisa zitafuata,” amesema Askofu Mwijage.
Asimwe menye umri wa miaka miwili na nusu alinyakuliwa mikononi mwa mama yake na watu wasiojulikana Mei 30, 2024 katika Kijiji cha Bulamula, Muleba mkoani Kagera.
Chanzo: Mwananchi
Pia soma
- Mtoto Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita akutwa amefariki na mwili kufungwa kwenye mfuko
- Kifo cha mtoto albino kinataka amri ya Rais sio masikitiko ya Rais
- Tumeshindwa kumlinda Asimwe
- Kufuta mauaji ya albino, ni kutokomeza kabisa Waganga wapiga ramli
- KWELI - Fr. Elipidius Rwegoshora, ambaye ni Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Asimwe Novath, ni Padri katika Jimbo la Bukoba
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Tunataka kujua mejesho kutoka kwa waumini wake????Wamchunguze na Paroko Mkuu kuna mengi watayabaini.
Waumini wameinamisha nyuso chini..Tunataka kujua mejesho kutoka kwa waumini wake????
Leteni ushahidi?Waumini wameinamisha nyuso chini..
Maandalizi kwa vijana hadi kufikia upadri yamejaa unafiki kwa kiwango kikubwa. Hivyo, nivigumu sana kupata watu sahihi! Anaye waandaa, anaishi kinafiki! Wanao andaliwa, nao inabidi kuishi kinafiki ili kuweza kufikia lengo lao! Haya ndo matokeo, padri mtuhumiwa wa kudhamini mauaji ya mtoto mwenye albinism.....aibu na fedheha kubwa kwa daraja la upadri na kanisa katoliki!
Mbona uwa mnasema waislam ni MAGAIDI. Na wewe jichunguze kama unaakili au umejaza matope.
Waumini wake wameufyata mkia! Hawawezi kiuongea, padri wao kesha wavua nguo. Aibu yao na wao, maana wanawatukuza sana mapdri wao wasiojitambua.Tunataka kujua mejesho kutoka kwa waumini wake???
Sio kabambikwa?Waumini wake wameufyata mkia! Hawawezi kiuongea, padri wao kesha wavua nguo. Aibu yao na wao, maana wanawatukuza sana mapdri wao wasiojitambua.