Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

Wakatoliki ni Mashetani
Kuna huyu Father Kit Cunningham, alifira sana vijana wa wakatoliki wa Tanzania miaka ya 60 na 70, mpaka Queen Elizabeth alimvua heshima ya MBE

1719039487894.png
 
Ujinga huu ndo ulinifanya kaa mbali na kanisa hili, kuna ubabaishaji wa ajabu sana msione wapo ndani ya majoho. Hakuna raha za dunia wazizofanya labda wale wa zamani ila sio hawa G - z
Julize kama kweli uyu mpumbavu ambae ni Padri anashiriki toa roho ya kiumbe asie kuwa na hatia kisa tu yupo na utofauti wa ngozi nyeusi , alafu Jiulize hata kama ni utajiri angepata kwa imani yake potofu je ni kwa ajili ya nani?

Maana inajulikana mapadri ,masista , maaskofu , n.k hawatakiwi kuoa , jamiana, au kuwa na michepuko , so huo utajiri angempelekea nani , shezi zake kabisa , watu wajinga wa namna hii inatakiwa kuchomwa moto live kabla ya ule wa mbinguni

Fikiria uyu malaika amekufa katika mateso gani, je walimua na kuchomoa viungo vyake ,au alichomolewa viungo vyake akiwa hai, na je kama aliuliwa then chomolewa viungo vyake , maumivu kifyo chake ilikua na maumivu kiasi gani?


Nalia sana ,Mungu ampumzishe uyu dogo pema pepon , ila dam yake itatafuna kizazi hadi kizazi kwa yoyote alie husika asema Bwana
 
Haya wale wajinga waliokuwa wanatetea uovu na upumbavu wa huyu padri wako wapi?

Mara eti sio padri!!

Kuna wakatoliki ni wapumbavu sana hata paroko akibaka wake zao au kulawiti watoto wao, Bado wata mtetea paroko.
Acha tu, tuwaonee huruma wafuasi kama hao kwani tupo katika enzi za giza kubwa kuliko hata ile miaka ya 400.

Dini za kweli tuwaombee sana hawa wenzetu ili watoke katika inyororo.
 
Juu ya sheria zipi mkuu?
Ukatoliki ukogo juu ya sheria zote - za mbinguni na duniani; hata za kwake zenyewe.

Ndiyo maana kuna amri ya papa akiwa kwenye kiti (ex cathedra) na akiwa anazurura tu huko mitaani.

It means ikitokea akaropoka boko fulani mtaani, anawahi kwenye kiti chake cha kikasisi na kubatilisha alichotamka awali.

Au kama alishasema kitini, basi boko zingine zote asemazo mtaani hazihesabiki hata kama zingenaswa na media kubwa kama BBC na CNN.
 
130. Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.
(Qur'aan 2:130)
 
Kanisa katoliki limejaa makashifa tu. Mara ushoga, mara kulawiti watoto, mara utakatishaji pesa vatican bank, mara kupora ardhi za watu, mara kula njama ya kumua mtoto alubino...nk. Kanisa liachane na mambo ya kidunia. Lijikite kwenye mambo ya kiroho.
 
Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha kutoa huduma za kichungaji Padri, Elipidius Rwegoshora kufuatia tuhuma zinazomkabili za kuhusika katika mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novart.

Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, Jovitus Mwijage ametangaza uamuzi huo kupitia gazeti la Kiongozi linalotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), toleo lake la Juni 21 -27, 2024

Gazeti hilo limemnukuu Askofu Mwijage akikiri kuwa mtuhumiwa ni padri wa jimbo lake na amemsimamisha kutoa huduma zote za kichungaji mpaka hapo suala lake litakaposhughulikiwa na vyombo vya sheria.

“Tunahuzunishwa na taarifa ya mauaji ya Asimwe, kwani sisi kama Kanisa Katoliki ni walinzi wa kwanza wa uhai wa wanadamu. Tunaiombea familia yake na kuiombea roho yake ipate pumzio la amani mbinguni.

“Hata hivyo, tumesikia taarifa ya watuhumiwa na mmojawapo akiwa ni Padri Rwegoshora. Ni kweli padri huyo ni wa jimbo Katoliki Bukoba na tumechua uamuazi wa kumsimamisha kutoa huduma zote za kichugaji mpaka hapo suala lake litakaposhughulikiwa na vyombo vya sheria.

“Baada ya vyombo vya sheria kumaliza kazi yake, ndipo taratibu nyingine za kanisa zitafuata,” amesema Askofu Mwijage.

Asimwe menye umri wa miaka miwili na nusu alinyakuliwa mikononi mwa mama yake na watu wasiojulikana Mei 30, 2024 katika Kijiji cha Bulamula, Muleba mkoani Kagera.

Chanzo: Mwananchi

Pia soma
Tunaomba taarifa zaidi kuhusu Fr Elipidius Rwegeshora.

Je ana tabia za kihalifu kama pombe, uzinzi na uhuni?
 
Maandalizi kwa vijana hadi kufikia upadri yamejaa unafiki kwa kiwango kikubwa. Hivyo, nivigumu sana kupata watu sahihi! Anaye waandaa, anaishi kinafiki! Wanao andaliwa, nao inabidi kuishi kinafiki ili kuweza kufikia lengo lao! Haya ndo matokeo, padri mtuhumiwa wa kudhamini mauaji ya mtoto mwenye albinism.....aibu na fedheha kubwa kwa daraja la upadri na kanisa katoliki!

Nakubaliana na wewe asilimia 100. Kanisa la leo limejaa kutukuzwa na kusifiwa wakubwa na wengine hawataki hata Mwenyezi Mungu apewe nafasi ya kwanza kama astahili.
Na wanaojaribu kumpa Mwenyezi Mungu nafasi yake, wanaburuzwa na kupewa maisha magumu sana. Sishangai kuona haya yaliyotokea. Na mengi yanaendelea yanayoliaibisha kanisa
 
Mbona uwa mnasema waislam ni MAGAIDI. Na wewe jichunguze kama unaakili au umejaza matope.

Nani kasema waislamu magaidi? Kuna waislam wengi wema sana. Hawana shida na mtu.
Ila kuna baadhi yao kweli ni magaidi. Wanatumia vibaya mafundisho ya dini kuua wenzao, pengine hata waislamu wenzao.
 
Back
Top Bottom