CELLULAIRE
Member
- Mar 16, 2016
- 76
- 97
Source?Uchunguzi rasmi umeanza kwa Watawa wawili wa Kanisa Katoliki ili kuweza kujua ni kivipi wameweza kupata Ujauzito wakati walipokuwa katika Ziara ya Kikanisa katika bara la Afrika. Na Kanisa hilo Katoliki linashangaa pia kwamba kumetokea nini wakati hao Watawa walishafanya Ziara kadhaa katika Mabara mengine na hawakupata Ujauzito lakini walipokuja tu Afrika wote wawili wamepatwa nazo.
Weeee😳😳😳😳 lini iyo imetoa tamko? Usifanye nkamkumbuka faza MathewSource?
Link?
Ila elewa mapadri sasa wameruhusiwa kuoa, wanapiga mashine kama kawaida.
Uchunguzi rasmi umeanza kwa Watawa wawili wa Kanisa Katoliki ili kuweza kujua ni kivipi wameweza kupata Ujauzito wakati walipokuwa katika Ziara ya Kikanisa katika bara la Afrika. Na Kanisa hilo Katoliki linashangaa pia kwamba kumetokea nini wakati hao Watawa walishafanya Ziara kadhaa katika Mabara mengine na hawakupata Ujauzito lakini walipokuja tu Afrika wote wawili wamepatwa nazo.
Weka taarifa iliyojitosheleza. Kinyume na hapo, utaonekana umekurupuka. By the way, hao watawa nao ni binadamu tu kama wewe na wala siyo malaika!
Sioni kama kuna tatizo kihivyo. Zinapotokea changamoto kama hizo, wana sheria zao.
Umekurupuka sana mazee, sasa kama wao ni binadamu kwanini wanazuiwa kuolewa na kuoa/?
Wacha wasuguliwe vizuri, tena ukute wamekutana na njemba za kikongo, mtu anasimamia kucha mpaka asubuhi
Wameruhusiwa lini ?Source?
Link?
Ila elewa mapadri sasa wameruhusiwa kuoa, wanapiga mashine kama kawaida.
walijijua kuwa ni binadamu sasa ikawaje wakawe watawa ,, wao wangekuwaje watawa bila wazazi wao Ku kwichi kwichi??Weka taarifa iliyojitosheleza. Kinyume na hapo, utaonekana umekurupuka. By the way, hao watawa nao ni binadamu tu kama wewe na wala siyo malaika!
Sioni kama kuna tatizo kihivyo. Zinapotokea changamoto kama hizo, wana sheria zao.
Last week.Wameruhusiwa lini ?
Nilisoma KITABU kimoja cha yule nabii Wa kisabato kiitwacho tumaini kuu hakika utajua pale vatcan ni pachafu kiasi ganiUchunguzi rasmi umeanza kwa Watawa wawili wa Kanisa Katoliki ili kuweza kujua ni kivipi wameweza kupata Ujauzito wakati walipokuwa katika Ziara ya Kikanisa katika bara la Afrika. Na Kanisa hilo Katoliki linashangaa pia kwamba kumetokea nini wakati hao Watawa walishafanya Ziara kadhaa katika Mabara mengine na hawakupata Ujauzito lakini walipokuja tu Afrika wote wawili wamepatwa nazo.
walijijua kuwa ni binadamu sasa ikawaje wakawe watawa ,, wao wangekuwaje watawa bila wazazi wao Ku kwichi kwichi??
Mkuu sorry nje ya mada kidogoLast week.
Nawaza jinsi vibubu vyao vilivyojaa na walivyo na nagre wakikamatia lazma mtu atoke na nguo ya ndani
Kanisa katoliki lapaswa kuwashona nyuzi watawa kunako papuchini au kuwakeketa ili kuondoa wasi wasi wa namna hii.Uchunguzi rasmi umeanza kwa Watawa wawili wa Kanisa Katoliki ili kuweza kujua ni kivipi wameweza kupata Ujauzito wakati walipokuwa katika Ziara ya Kikanisa katika bara la Afrika. Na Kanisa hilo Katoliki linashangaa pia kwamba kumetokea nini wakati hao Watawa walishafanya Ziara kadhaa katika Mabara mengine na hawakupata Ujauzito lakini walipokuja tu Afrika wote wawili wamepatwa nazo.
Source?
Link?
Ila elewa mapadri sasa wameruhusiwa kuoa, wanapiga mashine kama kawaida.
pole sana, angalia TV VATICAN utaona wewe.Chanzo ni Mitandao.
under 18 ni mtoto na wanaongozwa na Sheria ya mtoto., LAW OF THE CHILD ACT, 2009 na kanuni zake za 2016.Mkuu sorry nje ya mada kidogo
We si ni jaji sheria kwako imekaa vyema
Nilikuwa nauliza hivi viwanafunzi vyote ni under 18 vikapeana mimba vinafungwa miaka 30 ? Vyote sheria imekaa vipi hapo
Maana kuna dogo kashaharibu huku