Hebu kuwa muelewa basi, hao unaowazungumzia walikuwa dhehebu la Protestant wakabadili kuwa Catholic wakiwa tayari wameshaoa na baba mtakatifu J.Paul -2 akaagiza wasivunje ndoa zao kisa utumishi, wabakie na ndoa zao.Source?
Link?
Ila elewa mapadri sasa wameruhusiwa kuoa, wanapiga mashine kama kawaida.
= hafla
Hilo mbona la kawaida. Wale wa kiume wa huko kanisa katoliki huyajui madudu yao?
Nigeria: Mamia waokolewa msikitini wakiwa wamefungwa minyororo
Polisi nchini Nigeria imewaokoa watu 259 kutoka katika kituo kisichokubalika kisheria kilichopo ndani ya msikiti katika mji wa Ibadan, uliopo katika jimbo la kusini magharibi mwa nchi hiyo la Oyo, vimeripoti vyombo vya habari nchini humo. Wengi miongoni mwa waliookolewa katika uvamizi wa polisi...www.jamiiforums.com