Then quit!!!.Hapa ndio napataga tabu mimi kama mkristo,moshi wa nini?
Dah, yule baba Mungu amrehemu jamani. Nakumbuka Vatican ilivyokuwa inalazimika kufanya clarification ya matamshi yake. Nina watu walishakata tamaa ya church. Anyway, hopefully this time mambo yatakuwa poa.I wish safari hii turudi kwenye ule utartibu wetu wa kuongozwa na Papa Mhafidhina. Papa Francis ilibakia kidogo alivuruge Kanisa kwa kuruhusu mambo ya nyakati za sasa.
ni raia wa nchi gani na amechagua jina gani?Tayari
Bado watu wanasubiri atokezee. Mawasiliano na waliomo ndani bado hayajarudishwani raia wa nchi gani na amechagua jina gani?
Kanjibai upo huku wenzako Pakistan wanawatungua tu kama kuku mdondo🤣🤣Pietro wa italy ndio atachaguliwa (mtazamo wangu)
Ila ningependa papa atoke ulaya mashariki kule ukrsto upo moyon
Hasa kutoka poland hungary na malita
Moshi tu na kengere ndivyo vimethibitisha.ni raia wa nchi gani na amechagua jina gani?
Ulaya vs waamerika weupeMchuano hapo ni ulaya na Asia.
Kumbuka hiyo ni taasisi huwa haamui peke yake.Dah, yule baba Mungu amrehemu jamani. Nakumbuka Vatican ilivyokuwa inalazimika kufanya clarification ya matamshi yake. Nina watu walishakata tamaa ya church. Anyway, hopefully this time mambo yatakuwa poa.
Hii umeipata toka kitabu gani?Sababu kubwa ugumu kuchagua Papa huwa hakuna wagombea kila kardinali aweza jipigia kura hivyo kupata theluthi mbili kuwa ngumu na uchaguzi kurudiwa
Kawaida hupewa karatasi kila kardinali aandike nani anamtaka awe Papa
Uchaguzi huu mgumu kila kardinali wengi wanajiandika wenyewe kuwa ndio wataka kuwa Papa na kuna siasa za ubara waasia wanataka papa wao,Wa Africa wanataka wao,wa Ulaya wanataka wao ,wa Marekani wanataka wao nk
Sababu makardinali wengi wa sasa ni makardinali wa dot com tofauti na wa zamani kila kardinali ànavutia kwake
Wewe na uliyem quote mnaweza kua mpo sawa but mnatofautiana mitazamo, yeye huenda kajenga hoja yake kupitia maandiko, kwamba hakuna kitu kama mioshi while wewe pia umejikita kwenye historia, kwamba kwa miaka yote RC wamekua na mfumo wa moshi badala ya maandikoThen quit!!!.
Yanini kuumiza kichwa wakati zipo option nyengine?islam etc,yaani watu kwa miaka 2000s+ wamelielewa hili wewe mmoja unatoka kusikoeleweka unataka waache wafuate unachoona wewe kinafaa?
Nahisi mods wamechelewa ku-update pale juu,na hii taarifa imetoka siyo muda mrefu.Mbona bbc swahili wanaripoti muda huu kuwa moshi mweupe umetokea kumaanisha papa mpya amepatikana na muda mfupi ujao atatangazwa
una utaniCCM wasije wakampiga na kitu kizito kichwani