Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Imagine moshi ndo unaamua papa awe nani, moshi kama moshi,moshiiii yani moshi. Kila la kheri ndugu zangu.
NI SAYANSI KAMA SAYANSI
kwa Afrika ni mambo ya kishirikina ila kwa wazungu ni sayansi..
Ajabu sasa kama ni sayansi si waweke hata mfumo wa kutouch mashine ihesabu kura habari za moshi zinakujaje na suala la kiroho?

Anway mambo yao waachie wenyewe🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sisi tunaoamini "The 112 popes of saint malachy" mnatuchukuliaje sasa.
 
Sababu kubwa ugumu kuchagua Papa huwa hakuna wagombea kila kardinali aweza jipigia kura hivyo kupata theluthi mbili kuwa ngumu na uchaguzi kurudiwa

Kawaida hupewa karatasi kila kardinali aandike nani anamtaka awe Papa

Uchaguzi huu mgumu kila kardinali wengi wanajiandika wenyewe kuwa ndio wataka kuwa Papa na kuna siasa za ubara waasia wanataka papa wao,Wa Africa wanataka wao,wa Ulaya wanataka wao ,wa Marekani wanataka wao nk

Sababu makardinali wengi wa sasa ni makardinali wa dot com tofauti na wa zamani kila kardinali ànavutia kwake
 
Imagine moshi ndo unaamua papa awe nani, moshi kama moshi,moshiiii yani moshi. Kila la kheri ndugu zangu.
Ni kura mkuu, wanapiga kura atakayepata kura 89 ndo anakuwa papa, moshi ni kwamba kura zikitosha zinachanganya na kemikali fulani ambapo zikichomwa zitatoa moshi mweupe kutoa taarifa kwa waumini wa rc kuwa papa mpya kapatikana, zisipotosha kemikali inayotumika kuchoma kura itatoa moshi mweusi na hapo ngoma bado inakuwa mbichi.
 
Hahitaji maelezo...
Wengine tuna pumu, huu moshi haufai....
 
Sababu kubwa ugumu kuchagua Papa huwa hakuna wagombea kila kardinali aweza jipigia kura hivyo kupata theluthi mbili kuwa ngumu na uchaguzi kurudiwa

Kawaida hupewa karatasi kila kardinali aandike nani anamtaka awe Papa

Uchaguzi huu mgumu kila kardinali wengi wanajiandika wenyewe kuwa ndio wataka kuwa Papa na kuna siasa za ubara waasia wanataka papa wao,Wa Africa wanataka wao,wa Ulaya wanataka wao ,wa Marekani wanataka wao nk

Sababu makardinali wengi wa sasa ni makardinali wa dot com tofauti na wa zamani kila kardinali ànavutia kwake
Hiyo hufanyika ile awamu ya kwanza. Baada ya round kadhaa, huanza ku focus kwa wale wanaopata kura nyingi zaidi japo ni hiyari kuchagua.
 
Hakuna anayeruhusiwa kuingia kule na wanapiga kura za siri na wameapa kutunza siri, aliyekwambia hayo ni nani????
Wanachozuia ni live coverage, taarifa zingine zipo kwenye website ya Vatican kwa wale waliopita. Hata mapadre wanahojiwa na kuyasema hayo, ndio maana wanatabiri kupata papa leo jioni au kesho asubuhi.
 
More to come soon.

Moshi mweupe waonekana.

IMG_7886.jpeg
 
Back
Top Bottom