Uchaguzi wa Papa mpya umeanza rasmi leo, Jumatano, Mei 7, 2025, katika Kanisa la Sistine, Vatican, kufuatia kifo cha Papa Francis kilichotokea Aprili 21 akiwa na umri wa miaka 88. Huu ni uchaguzi wa 267 katika historia ya Kanisa Katoliki.
Muhtasari wa Mchakato wa Conclave
Asubuhi ya leo, makardinali walishiriki Misa ya "Pro Eligendo Pontifice" katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, ikiongozwa na Kardinali Giovanni Battista Re.
- Idadi ya wapiga kura: Makardinali 133 walio chini ya umri wa miaka 80 wanashiriki katika uchaguzi huu. Wengi wao, 108 kati ya 133, waliteuliwa na Papa Francis, wakionyesha uwakilishi mpana wa kimataifa.
- Mahitaji ya ushindi: Mshindi anahitaji kupata angalau kura 89, sawa na theluthi mbili ya kura zote.
- Taratibu za uchaguzi: Makardinali wanafanya upigaji kura mara mbili kila siku. Baada ya kila raundi, karatasi za kura huchomwa: moshi mweusi huashiria hakuna mshindi, wakati moshi mweupe hutangaza kuwa Papa mpya amechaguliwa.
- Ulinzi wa usiri: Wapiga kura wote wameapa kutunza siri kali kuhusu mchakato huu, na hatua za kiusalama zimechukuliwa kuhakikisha hakuna uvujaji wa taarifa.
Baadaye mchana, makardinali walielekea kwenye Kanisa la Sistine kwa ajili ya kuanza rasmi mchakato wa uchaguzi. Upigaji kura wa kwanza unatarajiwa kufanyika jioni ya leo. Kwa sasa, hakuna moshi mweupe ulioripotiwa, hivyo bado hakuna Papa mpya aliyeteuliwa. Tutaendelea kukufahamisha mara tu matokeo mapya yatakapopatikana.
UPDATE:
Protase Kardinali Rugambwa aapa kuwa Mwaminifu na kutunza Siri
View attachment 3327140
Tanzania ina Makadrinali wawili, Protase Kardinali Rugambwa na Polycarp Kardinali Pengo. Kwa mujibu wa taratibu, ni Rugambwa pekee ndiye anaweza kupiga na kupigiwa kura maana yupo chini ya umri wa miaka 80.
Sambamba naye, Makardinali wengine pia wanaohusika kwenye uchaguzi huu wameweka viapo vyao.
Hakuna channel yoyote isipokuwa international media yote yaangazia kule juu kwenye paa kuangalia ni moshi upi watokezea.Channel ipi wanaonesha live coverage ya ndani mule..?
Huyu Pietro Parolin aweza kabisa kuchaguliwa kwani alikuwa akishika nafasi pale papa francis alipoanza kuugua.Pietro wa italy ndio atachaguliwa (mtazamo wangu)
Ila ningependa papa atoke ulaya mashariki kule ukrsto upo moyon
Hasa kutoka poland hungary na malita
Ila mchuano mkali ni kati ya Asia na Ulaya.Zuppi yuko vizuri
Tunataka waliomshambulia kitima wauaweTunataka Papa atakayeamuru waliomshambulia Father Kitima wakamatwe na wale waliowatuma
Hongera Muafrika unaeijua Vatican.Mnaleta uafrika Vatican..
Mnaijua Vatican ama mnaisikia
Uchaguzi wa Papa mpya umeanza rasmi leo, Jumatano, Mei 7, 2025, katika Kanisa la Sistine, Vatican, kufuatia kifo cha Papa Francis kilichotokea Aprili 21 akiwa na umri wa miaka 88. Huu ni uchaguzi wa 267 katika historia ya Kanisa Katoliki.
Muhtasari wa Mchakato wa Conclave
Asubuhi ya leo, makardinali walishiriki Misa ya "Pro Eligendo Pontifice" katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, ikiongozwa na Kardinali Giovanni Battista Re.
- Idadi ya wapiga kura: Makardinali 133 walio chini ya umri wa miaka 80 wanashiriki katika uchaguzi huu. Wengi wao, 108 kati ya 133, waliteuliwa na Papa Francis, wakionyesha uwakilishi mpana wa kimataifa.
- Mahitaji ya ushindi: Mshindi anahitaji kupata angalau kura 89, sawa na theluthi mbili ya kura zote.
- Taratibu za uchaguzi: Makardinali wanafanya upigaji kura mara mbili kila siku. Baada ya kila raundi, karatasi za kura huchomwa: moshi mweusi huashiria hakuna mshindi, wakati moshi mweupe hutangaza kuwa Papa mpya amechaguliwa.
- Ulinzi wa usiri: Wapiga kura wote wameapa kutunza siri kali kuhusu mchakato huu, na hatua za kiusalama zimechukuliwa kuhakikisha hakuna uvujaji wa taarifa.
Baadaye mchana, makardinali walielekea kwenye Kanisa la Sistine kwa ajili ya kuanza rasmi mchakato wa uchaguzi. Upigaji kura wa kwanza unatarajiwa kufanyika jioni ya leo. Kwa sasa, hakuna moshi mweupe ulioripotiwa, hivyo bado hakuna Papa mpya aliyeteuliwa. Tutaendelea kukufahamisha mara tu matokeo mapya yatakapopatikana.
UPDATE:
Protase Kardinali Rugambwa aapa kuwa Mwaminifu na kutunza Siri
Tanzania ina Makadrinali wawili, Protase Kardinali Rugambwa na Polycarp Kardinali Pengo. Kwa mujibu wa taratibu, ni Rugambwa pekee ndiye anaweza kupiga na kupigiwa kura maana yupo chini ya umri wa miaka 80.
Sambamba naye, Makardinali wengine pia wanaohusika kwenye uchaguzi huu wameweka viapo vyao.
Moshi Mweusi waonekana
Majira ya saa 3:00 usiku kwa saa za Vatican, Moshi mweusi umeonakana kwa mara ya kwanza Mei 7, 2025 kuashiria kuwa kura hazijatosha kwa makardinali waliopigiwa kura.
Zoezi kuendelea tena Mei 8, 2025.

Hili jambo linanishangaza?Maandiko kwenye Biblia yanaonyesha viongozi hawakuchaguliwa bali waliitwa na bwana kwa nyakati tofauti. Hii ya Vatican naona haina tofauti na michakato ya nafasi za kisiasa au ile ya katibu mkuu wa UN.
Kuna taratibu yake, hamna NEC mleNaona mpaka sasa hakuna jipya kuhusu papa mpya
Wale mnaofwatilia najua Jana ikitokea Moshi mweusi mns ajapatokana
Vipi na Leo Moshi mweusi unaendeleaaaaaaaaaa