Sasa ndugu yangu, hapo unashauri mchakato ungekuwaje. Huko ndo kuitwa na Mungu sasa, maana hakuna anayegombea hiyo nafasi mnachaguna tu blindly bila kampeni wala majina rasmi. Utaratibu uko poa kabisa kupata aliyeitwa na Mungu. Japo shetani naye anajipenyezaga humohumo.Maandiko kwenye Biblia yanaonyesha viongozi hawakuchaguliwa bali waliitwa na bwana kwa nyakati tofauti. Hii ya Vatican naona haina tofauti na michakato ya nafasi za kisiasa au ile ya katibu mkuu wa UN.
Siyo kweli. Ni kemikali tu inayotumika, means sayansi inatumika. Lengo la huo moshi ni kutoa update ya zoezi kwa waamini duniani kote. Ukishaona moshi mweupe sikilizia kama uko karibu na kanisa katoliki, zitapigwa kengele na utaiona waumini wanakimbia kuingia humo."Wanapiga kura kisha karatasi huchomwa ukitoka moshi mweusi maanake hakuna mshindi"
SAYANSI KAMA SAYANSI 😅😅😅😅
Pope anaitwa kwa njia ya kura.Maandiko kwenye Biblia yanaonyesha viongozi hawakuchaguliwa bali waliitwa na bwana kwa nyakati tofauti. Hii ya Vatican naona haina tofauti na michakato ya nafasi za kisiasa au ile ya katibu mkuu wa UN.
Sio siku tu, umeshawahi kukaa miezi zaidi ya mitatuAs far as I can see it is a straightforward thing.
Wanapiga kura halafu wanaambizana baadaye,hawa ndio wamepata kura nyingi,turudi tena kupiga kura baadaye.
Mchakato haujawahi kuzidi siku nne.
Sasa kama pamesemwa yanayofanyika ndani huwa ni usiri mkubwa wewe umejuaje kinachochomwa ni kemikali?Siyo kweli. Ni kemikali tu inayotumika, means sayansi inatumika. Lengo la huo moshi ni kutoa update ya zoezi kwa waamini duniani kote. Ukishaona moshi mweupe sikilizia kama uko karibu na kanisa katoliki, zitapigwa kengele na utaiona waumini wanakimbia kuingia humo.
Hapana. Hiyo taarifa ni public knowledge kiongozi. Kila mtu anajua ni nini hupelekea hiyo rangi ya moshi na humaanisha nini.Sasa kama pamesemwa yanayofanyika ndani huwa ni usiri mkubwa wewe umejuaje kinachochomwa ni kemikali?
Naamini utakuwa umo ndani unashiriki kupiga kura mkuu.
Wanakula per diem nn kila wakipiga kura maana WANASEMA halijawahi kutokea hii Toka sijui Mwaka ganiAs far as I can see it is a straightforward thing.
Wanapiga kura halafu wanaambizana baadaye,hawa ndio wamepata kura nyingi,turudi tena kupiga kura baadaye.
Mchakato haujawahi kuzidi siku nne.
Uchaguzi wa Papa mpya umeanza rasmi leo, Jumatano, Mei 7, 2025, katika Kanisa la Sistine, Vatican, kufuatia kifo cha Papa Francis kilichotokea Aprili 21 akiwa na umri wa miaka 88. Huu ni uchaguzi wa 267 katika historia ya Kanisa Katoliki.
Muhtasari wa Mchakato wa Conclave
Asubuhi ya leo, makardinali walishiriki Misa ya "Pro Eligendo Pontifice" katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, ikiongozwa na Kardinali Giovanni Battista Re.
- Idadi ya wapiga kura: Makardinali 133 walio chini ya umri wa miaka 80 wanashiriki katika uchaguzi huu. Wengi wao, 108 kati ya 133, waliteuliwa na Papa Francis, wakionyesha uwakilishi mpana wa kimataifa.
- Mahitaji ya ushindi: Mshindi anahitaji kupata angalau kura 89, sawa na theluthi mbili ya kura zote.
- Taratibu za uchaguzi: Makardinali wanafanya upigaji kura mara mbili kila siku. Baada ya kila raundi, karatasi za kura huchomwa: moshi mweusi huashiria hakuna mshindi, wakati moshi mweupe hutangaza kuwa Papa mpya amechaguliwa.
- Ulinzi wa usiri: Wapiga kura wote wameapa kutunza siri kali kuhusu mchakato huu, na hatua za kiusalama zimechukuliwa kuhakikisha hakuna uvujaji wa taarifa.
Baadaye mchana, makardinali walielekea kwenye Kanisa la Sistine kwa ajili ya kuanza rasmi mchakato wa uchaguzi. Upigaji kura wa kwanza unatarajiwa kufanyika jioni ya leo. Kwa sasa, hakuna moshi mweupe ulioripotiwa, hivyo bado hakuna Papa mpya aliyeteuliwa. Tutaendelea kukufahamisha mara tu matokeo mapya yatakapopatikana.
UPDATE:
Protase Kardinali Rugambwa aapa kuwa Mwaminifu na kutunza Siri
Tanzania ina Makadrinali wawili, Protase Kardinali Rugambwa na Polycarp Kardinali Pengo. Kwa mujibu wa taratibu, ni Rugambwa pekee ndiye anaweza kupiga na kupigiwa kura maana yupo chini ya umri wa miaka 80.
Sambamba naye, Makardinali wengine pia wanaohusika kwenye uchaguzi huu wameweka viapo vyao.
Moshi Mweusi waonekana kwa mara ya 1
Majira ya saa 3:00 usiku kwa saa za Vatican, Moshi mweusi umeonakana kwa mara ya kwanza Mei 7, 2025 kuashiria kuwa kura hazijatosha kwa makardinali waliopigiwa kura.
Zoezi kuendelea tena Mei 8, 2025.
Moshi Mweusi waonekana kwa Mara ya 2
Mei 8, 2025 mida ya saa saa 6:50 mchana kwa saa za Afrika Mashariki, moshi mweusi umeonekana kwa mara ya pili kutoka Vatican.
Hii inaonesha papa mpya bado hajapatikana.
Hata Mrithi wa kiti cha Petro anaitwa kwa njia ya kuraHili jambo linanishangaza?
Hata hivyo hili kanisa Sanaa nyingi
Ujuaji ni mwingi Jf😁Sasa kama pamesemwa yanayofanyika ndani huwa ni usiri mkubwa wewe umejuaje kinachochomwa ni kemikali?
Naamini utakuwa umo ndani unashiriki kupiga kura mkuu.
Ukiuliza hiyo kemikali inaitwaje atakwambiaUjuaji ni mwingi Jf😁