matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
KAka yake anadai Huyu Papa alitabiriwa na jirani yake akiwa darasa la kwanza KUWA atakuja KUWA papa, Tena papa wa kwanza kutoka US.
Hahahaaah asante sana kiongozi.Za siku nyingi kiongozi? Wewe ndie member wa kwanza kunipokea humu
Way back 2011. Shukrani sana kwa kuendeleza uwepo wako hapa JF
Duh! Mmeanza.KAka yake anadai Huyu Papa alitabiriwa na jirani yake akiwa darasa la kwanza KUWA atakuja KUWA papa, Tena papa wa kwanza kutoka US.
Kweli kabisa mkuu"Unaweza kumkuta..." ni lazima awe na elimu ndugu yangu, na afaulu. Hakuna Padre kilaza.
NI kweliDuh! Mmeanza.