Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Mkataa kwao mtumwaHahahaaaaa USA USA USA
Mkataa kwao mtumwaHahahaaaaa USA USA USA
Za siku nyingi kiongozi? Wewe ndie member wa kwanza kunipokea humuMay be....
Waachie na wengine wacomment, kwani mwishowe utakosa cha kuandikaHAPA MNAHANGAIKA DUNIA NZIMA KUSUBIRI JINA UNAKUTA MH TRUMP ASHAKUA MPAKA NANI POPE WETU HIO NDIO SIRI YETU
Ndioo maombi yetu kwa MunguAkemee ushoga kwa nguvu zake zote.
BODI imetumika nn hahahahaaaKinachofanyika ni more siasa kuliko IMAN.I...
Naona za Peruu n nyingi zaidiii kaishi hukoo sana wanasemaaa
Acha uchawa.
Umechukia papa kuwa Mnyamwezi?Kinachofanyika ni more siasa kuliko IMAN.I...
Mchawi mpe mwanao akulelee. Task ya kwanza amlainishe TRUMP akubali ndoa za jinsia moja.
Mhanga wa kwanza huyu 🤣.Acha uchawa.