Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Pure smile of Pope mpyaaa
 

Attachments

  • IMG_20250508_202525_629.jpg
    IMG_20250508_202525_629.jpg
    400.3 KB · Views: 16
  • IMG_20250508_202522_646.jpg
    IMG_20250508_202522_646.jpg
    407.9 KB · Views: 14
Ziara ya Rais Samia ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM nchini Vatican sasa kumeliweka taifa mahali pazuri sana kidiplomasia

Rais Samia aliongozana na Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi, mh Rostam Aziz na Waziri wa Chakula ni Uhai mh Hussein Bashe

Watanzania tembeeni Vifua mbele 🇹🇿
 
Siwezi kosa tukio kama hili.

I mean, USA iko juu tayari.

Leo imeenda kwenye galaxy nyingine kabisa.

USA baby 🇺🇸.

Vipi, umepatwa na fundo kooni kwa Papa kuwa Mnyamwezi?
Visa iligonga mwamba huyu mpwaaa mkaushieeee
 
Naona anatoka amerika ya kaskazini, kachagua jina la Papa Leo XIV
 
Ila wame hustle JAMAN YAAN nasikia maisha yakee mda woteee ameshinda na umishenari na Mungu WAKEE waacheni woi

COngolaaaaa nyingi Pope wangu
 
Back
Top Bottom