Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Ametokea kwa TrumpHAPA MNAHANGAIKA DUNIA NZIMA KUSUBIRI JINA UNAKUTA MH TRUMP ASHAKUA MPAKA NANI POPE WETU HIO NDIO SIRI YETU
Ametokea kwa TrumpHAPA MNAHANGAIKA DUNIA NZIMA KUSUBIRI JINA UNAKUTA MH TRUMP ASHAKUA MPAKA NANI POPE WETU HIO NDIO SIRI YETU
Ningeshangaa usingetokeaHahahaaaaa USA USA USA
KabisaKama sikosei ndo first American Pope.
🤣🤣🤣Mnaleta uafrika Vatican..
Mnaijua Vatican ama mnaisikia
Mbona wanatangaza live kwamba ni wa kwanza toka AmericaKama sikosei ndo first American Pope.
AKIZALIWA huko akakimbilia Peru umishenariiiKama sikosei ndo first American Pope.
Naweza kujua List nzima iliyoingia kwa PanelHatimae tumepata Papa Mpya toka Marekani. Asanteni
Usaaaaaa bybbbbb.......
Mwendo WA kutifuana mitaro tu
Imekuwa TraNaweza kujua List nzima iliyoingia kwa Panel
Hamkuelewa why Trump alipost picha kavaa kama Papa. Hamkuelewa Messages mkamshambulia tuTrump anafuraha sana.
Marekan inaenda kutimiza unabii .
Hata wasingeweka siri bado binadamu ana mapungufuKwanini iwe siri.
Aliyechaguliwa na Mungu inakuawaje wafanye siri. Why?
Ukiona sehemu kuna viapo vya kutunza siri ujue tu kiubinadamu kuna madhaifu
Kuna sehemu nimesema natabiri?Mbona wanatangaza live kwamba ni wa kwanza toka America
Usijifanye mtabiri.
Mwambaaa alijuaaaa m niliandika tunapambanaa kusubiri pengine mwambaa ana jina lake mfukon tayariiHamkuelewa why Trump alipost picha kavaa kama Papa. Hamkuelewa Messages mkamshambulia tu