Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Waafrika Wengi Watalalamika Kuhusu Mambo Waliyofanyiwa Katika Utumwa Lakini Hata Siku Huwezi Sikia Wakilalamika Kuhusu Utumwa Wa Dini
Aliyeandika hiyo quote ni mthenge , utumwa na dini ni vitu viwili tofauti...Dini imemfanya huyo kardinali wa Tz (mweusi) kuwa nafasi moja ya kchagua papa,mtumwa hao viongozi wako wa ukoo ndio waliuza wenzao na kupewa vioo vya kujiangalia kama kuku.

Mjinga aliyeandika hiyo quote ameandika kingereza ambacho sio lugha yake ,ni mnafiki na hanithi kabisa.

Kitu kingine Punguza kuleta umuhimu kwenye maisha ya watu ,kama huamini tafuta nyuzi wa wajinga wenzio.
 
HAPA MNAHANGAIKA DUNIA NZIMA KUSUBIRI JINA UNAKUTA MH TRUMP ASHAKUA MPAKA NANI POPE WETU HIO NDIO SIRI YETU
 
Anatokea kati ya hizi nchiii

Colombia..
USA
Canada
Filipino
kama mtabiri ngoja tuone
 
1746722984379.png

Kuna msatari kwenye Biblia unasema "...njiwa toka mbinguni..." je na hao wawili ni mwendelezo wa hilo la vitabuni?
 
Alitaka KWENDA swa lazima aavhane na masharti ya nchi za magharibi ya ajabu ajabu else atamfwata mwenzie
 
NI SAYANSI KAMA SAYANSI
kwa Afrika ni mambo ya kishirikina ila kwa wazungu ni sayansi..
Ajabu sasa kama ni sayansi si waweke hata mfumo wa kutouch mashine ihesabu kura habari za moshi zinakujaje na suala la kiroho?

Anway mambo yao waachie wenyewe🤣🤣🤣🤣🤣
Kama hakuna mgombea aliyepata 2/3 ya kura kutoka kwa makadinali wanaopiga kura basi zile karatasi wanazichoma pamoja na kemikali kama Potassium Chlorate, Sulfur na Athracene ambazo zinatoa moshi mweusi.

Kama kuna mgombea aliyepata mbili ya tatu ya kura yale makaratasi ya kupigia kura yanaunguzwa pamoja na kemikali kama potassium Chlorate, Lactose na Pine rosin ambazo zinatoa moshi mweupe.

Ingia mtandaoni usearch au uliza AI.
 
Hawa jamaa walio design Vatican (achtectures) walikuwa mbele ya mda sana maana haya majengo yatadumu miaka na miaka
Kweli kabisa hata mimi nashangaaga na nawaza walikuwa wanawaza nini....nikiangalia kwa mfano kuna majengo pale Washington Marekani unaambiwa yamejengwa mwaka 1700 hukoo ila utafikiri limejengwa juzi tuu..

Nikiiangalia Dodoma yetu ....ambayo tunaijenga leo..nachoka sana yaani...bado tuna safari ndefu sana...
 
Back
Top Bottom