Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Sijui BBC
YAAN Wana mhemukonwanataja wanahisi sijui jina gani Toka Marekani lmara ..xxxx Toka Canada mara gf Toka Colombia kah
Subirin basi hiooo sio derby Haina BODI woiii
 
Ifike sehemu mchakato wa kupata rais wa Tff uwe wa hivi. Nina uhakika jina la karia lingetoa Moshi mweusi hadi litolewe
Huyuu HATA mweusi haitoshi ungetoka na mkojooo WA njanooo so njanoo nyekundu si nyekunduuu umejaa uti
 
Kuna muda nikiwaza nasema pengine Mungu alitunyima akili akawapendelea wazungu halafu sisi akatupa akili za kulima, kula ,kucheza ngoma za jadi na kujenga nyumba za udongo.
Angetupa wote akili za wazungu tungeuwana mkuu tunashukuru kwa kilimo kwanza na ...xxyvroflsbrofkala
 
Ni
Maandiko kwenye Biblia yanaonyesha viongozi hawakuchaguliwa bali waliitwa na bwana kwa nyakati tofauti. Hii ya Vatican naona haina tofauti na michakato ya nafasi za kisiasa au ile ya katibu mkuu wa UN.
Ni utaratibu wao waliojiwekea hatuwezi kuhoji.
 
Kama hakuna mgombea aliyepata 2/3 ya kura kutoka kwa makadinali wanaopiga kura basi zile karatasi wanazichoma pamoja na kemikali kama Potassium Chlorate, Sulfur na Athracene ambazo zinatoa moshi mweusi.

Kama kuna mgombea aliyepata mbili ya tatu ya kura yale makaratasi ya kupigia kura yanaunguzwa pamoja na kemikali kama potassium Chlorate, Lactose na Pine rosin ambazo zinatoa moshi mweupe.

Ingia mtandaoni usearch au uliza AI.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom