Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Maandiko kwenye Biblia yanaonyesha viongozi hawakuchaguliwa bali waliitwa na bwana kwa nyakati tofauti. Hii ya Vatican naona haina tofauti na michakato ya nafasi za kisiasa au ile ya katibu mkuu wa UN.
papa ni padre, padre aliitwa akiwa mtu wa kawaida akaenda kwenye upadre akapanda ngazi kwa namna mbalimbali hadi kufika hapo

sauti ya wengi ni ya Mungu,

Ebu tueleze ulitaka aitwe kwa namna gani ?
 
Popeeeee wetuu huyooo
 

Attachments

  • IMG_20250508_201332_097.jpg
    IMG_20250508_201332_097.jpg
    395.5 KB · Views: 15
All d best ma popeee
 

Attachments

  • IMG_20250508_201328_131.jpg
    IMG_20250508_201328_131.jpg
    385 KB · Views: 14
Ameombaa muavhe DHAMBI za Dunia

Robert fraancis
 

Attachments

  • IMG_20250508_201321_733.jpg
    IMG_20250508_201321_733.jpg
    363.2 KB · Views: 16
  • IMG_20250508_201325_496.jpg
    IMG_20250508_201325_496.jpg
    386.4 KB · Views: 16
69 yrs

Aliteuliwa 2023. Kama kadinali
 
NANI ALIONA NCHI AMBAZO NAHISI ANATOKEA HUKO
COLOMBIA
USA
CANADIAN

NO MBILI INETIKI ANGALIEN MKEKA WENUU
 
Back
Top Bottom