Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Kweli kabisa hata mimi nashangaaga na nawaza walikuwa wanawaza nini....nikiangalia kwa mfano kuna majengo pale Washington Marekani unaambiwa yamejengwa mwaka 1700 hukoo ila utafikiri limejengwa juzi tuu..

Nikiiangalia Dodoma yetu ....ambayo tunaijenga leo..nachoka sana yaani...bado tuna safari ndefu sana...
Hawa ni sio watu wa kawaida basi tu tunaforce kwenda nao sawa ila ni ma genius sana
Maana hizo zama hapakuwa na ma cranes ya kuinua vitu vizito yet waliweza kujenga mega structures
 
Nilitamani kuona wale jamaa ma eng waliojenga haya majengo nahisi waliletwa na Mungu WAKAONDOKA gafla sio Hawa ma eng wetu WA sasa
Huwiiiii natania tuuuu
 
Then quit!!!.

Yanini kuumiza kichwa wakati zipo option nyengine?islam etc,yaani watu kwa miaka 2000s+ wamelielewa hili wewe mmoja unatoka kusikoeleweka unataka waache wafuate unachoona wewe kinafaa?
Dini yetu haipo hivyo,nafikiri ndio maana papa mweusi kupatikana ni tabu.

Hebu fikiria kama wewe ungekua papa si ungenifukuza kabisa na ukristo kwa barua.
Upendo huvumilia ,haujivuni wala hauhesabu mabaya Ok?
 
Angalia jinsi MEDIA zinavyo propagate hiki jambo. POPE na kuteka akili...
Huzuni sana jinsi binadamu anaongozwa chaka....
 
Hili JINA
Trump ashaambiwa nakwambia
 
Back
Top Bottom