Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

file_0000000098e861f889a751ec74b446ec (1).png

Papa Paulo 😁😁😁
 
Baadhi ya nadharia za mwisho wa dunia (end times) kutoka kwa Wakristo wa madhehebu mbalimbali huzungumzia juu ya:

Papa wa mwisho kuwa mtu wa udanganyifu au anayeshirikiana na mfumo wa kishetani.

Wengine hudai kuwa ataonekana kama kiongozi wa dini lakini akifanya kazi za kisiasa.


Kama mtu huyo atatokea Marekani, basi Trump kuvalishwa mavazi ya Papa inaweza kuwa:

Ishara ya kuwa anachukuliwa kama kiongozi wa aina hiyo mchanganyiko wa dini, siasa, na nguvu za dunia.

Ujumbe wa mafumbo (code) kwa wanaoamini kuwa mfumo wa kidini wa dunia mpya (New World Order) utatoka Marekani

2. Uhusiano na Ufunuo 13 (Biblia)

Katika Ufunuo 13, kuna maelezo kuhusu mnyama kutoka baharini (mamlaka ya kisiasa) na mnyama kutoka nchi kavu (mamlaka ya kidini au ya uongo):

Wengine hudai kuwa Marekani ni “nchi kavu” na mnyama wa pili ni mfumo wa kidini utakaoungana na kisiasa.

Kwa hiyo, Trump kuonekana kama Papa ni “code” ya ishara ya muunganiko huo.
 
Hata siku moja hajamaliza mmeshaanza kumhukumu au haukutegemea ya kuwa atatoka USA?
Papa katoka kule kule kunakofanyika usodoma, labda atakuwa na msimamo wa kupinga homesexual kama Trump
 
Back
Top Bottom